nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
- Thread starter
- #41
karibu mpwapwa nely..
mmh!ving'hawe?.......ok,asante sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu mpwapwa nely..
Chako ni chako ihamishiwe rukwa
mmh!ving'hawe?.......ok,asante sana.
ni vine high way mgogo alishindwa kuitamka kizungu. Huko kuna ushenz.i wa kila aina ya tabia kuna wavuta bange, vibaka na ngono watoto wanaanza at 10yrs halafu kuna ukimwi huko mitaa ya hazina kuelekea namba30 vibaya sana. Sehemu iliyotulia mpwapwa ni mji mpya na kikombo
duh...ngoja Husninyo aje atuhakikishie,me nnavojua mpwapwa yote imeharibika,kaulizie chumba gesti mida ya mchana hupati!(hivi Hafunsi bado ipo?)bora mwanakianga
Mlacha aondoke udom
Chako ni chako ihamishiwe rukwa
Unayo laana...tena haitaisha hadi mtakapopata akili....
Lol mmekwishaaa
hujui ulisemalo zunde we! :-/
Waliache jiji?Wagogo wote wa Ihumwa na Ng'ong'ona wahamishiwe Masaki DSM waje kula goodtime
Mkuu kumbuka hii in post ya March 19, 2012. Hata Mimi nimeshangaa kuona umeni-quote. Daahh! kitambo sana mwaka Wa saba sasa.Waliache jiji?
Wachochezi kama nanyi hampaswi kuachwa hivi hivi.Wafuasi wote wa Ccm Dodoma wamwangiwe tindikali...
Hahahaaa mkuu tushukuru tu wazima asee,ujue huu uzi nilianzisha mimi kwa id hiyo ila kilichotokea nilisahau password ikabidi nifungue id hii mpyaMkuu kumbuka hii in post ya March 19, 2012. Hata Mimi nimeshangaa kuona umeni-quote. Daahh! kitambo sana mwaka Wa saba sasa.
Alishaondoka mkuuMlacha aondoke udom