Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Na Mwigulu naye...ππππWanasiasa wa bongo wengi Wana vyeti bila Elimu
Kivipi... Hebu tupe mwanga kidogo ili tujue ni kwa nini unasema ni utapeli...πUtapeli tu
Kama alivyosema Pro. Assad kuwa tuna ujinga wa kihalaiki?Elimu ikiwa bora watapoteza vyao vingi, ujinga mwingi mtaji mkubwa.
Elimu inaendana na Maarifa ya kile ulichosomea au karirishwaNa Mwigulu naye...ππππ
Na Prof. Mkenda ambaye ni Waziri wa elimu naye ana cheti tu bila Elimu??
Ndiyo nauliza, jee tunaona kuna mwanasiasa anahusisha Elimu na maendeleo yetu?Elimu inaendana na Maarifa ya kile ulichosomea au karirishwa
Elimu ya bongo kwa kiasi kikubwa haitoi Maarifa Zaidi ya kukariri theories
Safari bado ni ndefu Sana πΌ
Wanasiasa wa bongo hawawezi kuhusisha Elimu yao na Maendeleo kwa sababu Elimu yao haina " Maarifa"Ndiyo nauliza, jee tunaona kuna mwanasiasa anahusisha Elimu na maendeleo yetu?
Yaani mbali ya Abdacadabra za kisiasa, kuna wanasiasa wanamakinika kuifanya elimu yetu iwe Bora zaidi kuliko ilivyo sasa!?
Unadhani viboko vikiwepo vinaboreshaje elimu yetu??Wanatakiwa kuacha kusaini mikataba, na kupokea msaada wenye masharti yenye lengo la kuzorotesha utoaji wa elimu kulingana na mazingira ya kitanzania. Wanafunzi leo hii wanalelewa kama yai. Wasikaripiwe, wasichapwe, wasipewe adhabu. Eti waonywe tu kwa ustaraabu! Kisa mikataba ya kimataifa. Khaa! Kazi kwelikweli
Are we serious huyu tumampatia uwaziri wa science and technology. Another day another stretcher like gaza.