Ili jamii iweze kuendelea kiuchumi, wizi ni lazima. Efficient Market Mypothesis (EMH) haipo na wala hai-exist

Ili jamii iweze kuendelea kiuchumi, wizi ni lazima. Efficient Market Mypothesis (EMH) haipo na wala hai-exist

Pale aliposema aliyenacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachodhani anacho basi atanyanganywa which means ataibiwa.

Mungu alitumia lugha laini sana kuwaambiwa kuwa tajiri au mwenye hela ana uhalali wa kumuibia asiyenacho

Mwenye akili na aelewe.
Context ya hii narrative haikuwa mali/fedha. Ni fundisho kuhusu talents/take initiative/right action vs indifference, lukewarmness, commission etc.
 
Hapo inaongelewa utajiri wa imani na sio mali.
Kuwa nacho=Kumiliki (mali), hii ni sheria ya asili (Mungu), kupingana nayo ni kujidanganya tu.
Matajiri huchangiwa au kupewa kuliko masikini. Hata wasio nacho hujitahidi kujitoa kwa wenye nacho.
Hujasikia walimu wakikusanya pesa kwa ajili ya fomu ya mgombea urais?
Kati ya walimu na mgombea nani mwenye nacho?
 
Ya kaisari mpe kaisari
Pale aliposema aliyenacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachodhani anacho basi atanyanganywa which means ataibiwa.

Mungu alitumia lugha laini sana kuwaambiwa kuwa tajiri au mwenye hela ana uhalali wa kumuibia asiyenacho

Mwenye akili na aelewe.
 
Sasa alikuwa na maama gani kusema mwenye ambaye hana kitu hata kile alicho nacho atanyanganywa? Huoni huo ni wizi. Think beyond
Hadithi za biblia zinaendana na muktadha. Ile story ilihusu uwajibikaji wa wafanyakazi kwa boss wao, ni ishu ya motivation.

Yule aliyezalisha talanta nyingi na kupata faida kubwa aliongezewa kutoka kwa yule ambaye hakuzalisha kabisa (mvivu). Sasa hapo wizi upo wapi?
 
Pale aliposema aliyenacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachodhani anacho basi atanyanganywa which means ataibiwa.

Mungu alitumia lugha laini sana kuwaambiwa kuwa tajiri au mwenye hela ana uhalali wa kumuibia asiyenacho

Mwenye akili na aelewe.
Uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo
 
Huu uzi nhauna ukweli. Nchi zilizo na maendeleo makubwa, wizi ni kwa kiwango kidogo sana. Umaskini ndio chanzo cha wizi na ukiukwaji za haki za wato.
Huko ndio wizi wa mchana kweupe tena wanavamia hadi nchi nyingine na silaha kuiba, congo pale unadhani wale waasi nani anawafadhili,sudan, nigeria, middle east
 
Back
Top Bottom