Ili jengo kampuni nyingi za mawasiliano ziliomba kuweka vifaa vyao cha kushangaza waligomewa.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine.

Hapa mpaka aliye morogoro,kibaha,znz na bagamoyo anaweza kupata signal safi.

ila kwa nini wamekataa kampuni nyingi
20251226_081601.jpg
 
Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine.

Hapa mpaka aliye morogoro,kibaha,znz na bagamoyo anaweza kupata signal safi.

ila kwa nini wamekataa kampuni nyingi View attachment 3520804
MASHARTI YA MGANGA
 
Kwa nini ni lazima vifaa vifungwe hapo ? Kwa nini wasifunge juu ya kilele cha mlima Meru Kilimanjaro au Uruguru? 🤔
 
Back
Top Bottom