Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine.
Hapa mpaka aliye morogoro,kibaha,znz na bagamoyo anaweza kupata signal safi.
ila kwa nini wamekataa kampuni nyingi
View attachment 3520804