Ili kuanzisha "day care and pre school" nahitaji vigezo gani?

Rosati

Senior Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
104
Reaction score
69
Salamu kwenu wadau.

Ili kuanzisha Day care na pre unit school hapa Tz nahitajika Kua na vigezo gani?

Natanguliza shukrani.

1629708096078.png

Uwe na miaka isiyopungua arobaini. Uwe umeisha hudumia watoto kwa miaka isiyopungua ishirini. Uwe na vyanzo vingine vya mapato vya kuhudumia, huduma hiyo. Uwe na uvumilivu. Pia zindiko la kiroho ni muhimu kwa ustawi wa huduma yako. Zingatia: siyo kila anayekuja na mtoto ni mteja, wengine ni mawakala wa uharibifu. Grow learning.
 
Hii nimeipenda sana.
Ahsante sana mdau
 
Hapo Kuna huduma mbili unataka kuanzisha ...Pre School na Day Care Centre.
Kun a While ..Wizara ya Elimu
Halafu Kuna Kituo Cha Malezi ya Watoto Mchanq...Wizarayya Afyq( Ustawi waJamii)
Nenda Halmashauri uanze mchakato !
 
Pamoja sana mkuu
 
Back
Top Bottom