Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa Afisa Elimu wa Wilaya ulipo utapewa masharti yoteuwe na Milion 200 kwenye account yako.
Una uhakika?uwe na Milion 200 kwenye account yako.
Una uhakika? Hiyo imeandikwa wapi?uwe na Milion 200 kwenye account yako.
Hii nimeipenda sana.Uwe na miaka isiyopungua arobaini. Uwe umeisha hudumia watoto kwa miaka isiyopungua ishirini. Uwe na vyanzo vingine vya mapato vya kuhudumia, huduma hiyo. Uwe na uvumilivu. Pia zindiko la kiroho ni muhimu kwa ustawi wa huduma yako. Zingatia: siyo kila anayekuja na mtoto ni mteja, wengine ni mawakala wa uharibifu. Grow learning.