Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio umeanza kunizeesha basi nikaona hakuna namna ila nipokee tu zawadi ya uzee Zuwena, si unajua tena zawadi haikataliwiUnapenda uzee
Wewe ndio umeanza kunizeesha basi nikaona hakuna namna ila nipokee tu zawadi ya uzee Zuwena, si unajua tena zawadi haikataliwiUnapenda uzee
Kweli kabisa mkuuHakuna soka la maana wala nini wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani sema tu ndio ushabiki na nini watu hawazingatii mpira mzuri
Ndio hivyo mkuu socer tunaliona kwa mchezaji mmoja mmoja tena wa kuhesabu kabisa ila kwa ujumla ni FKweli kabisa mkuu
Tena siku hizi kuna pesa nyingi kwenye soccer lakini vipaji ndio kama unavyosema mkuu, ni 'F' tupuNdio hivyo mkuu socer tunaliona kwa mchezaji mmoja mmoja tena wa kuhesabu kabisa ila kwa ujumla ni F
Haina jinsi lakini ngoja tukomae hivyo hvyo na ngoma zetu uwanjaniTena siku hizi kuna pesa nyingi kwenye soccer lakini vipaji ndio kama unavyosema mkuu, ni 'F' tupu
Mimi huwaga naona tunatofautiana sana binafsi siwezi angalia game ya kibongoHakuna soka la maana wala nini wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani sema tu ndio ushabiki na nini watu hawazingatii mpira mzuri
Yani kama umezoea kuangalia game za nje ukirudi kuangalia zetu tena za ligi kuu utaona nikama watoto wanacheza tu mitaani, kuanzia mchezo wenyewe ata muonekano wa viwanja vyetu tu....Mimi huwaga naona tunatofautiana sana binafsi siwezi angalia game ya kibongo
Hahahahaa sawasawa mkuuHaina jinsi lakini ngoja tukomae hivyo hvyo na ngoma zetu uwanjani
Club za afrika zikishiriki UEFA!?Sio Yanga au Simba au Tz hata afrika nzima soka limeshuka ndio maana huwezi kuona club za afrika zikishiriki UEFA.
Nami ameniacha hoi!Club za afrika zikishiriki UEFA!?
lazima niwaache hoi kwa thread ya kipuuzi kama hii unataka nijibu nini???Nami ameniacha hoi!
Well saidHaya mawazo ya kipuuzi kabisa. Anzisha team zako... Shabikia team unazoona zina mpira mzuri. Huu ujinga uwatoke hulazimishwi kushabikia simba wala yanga.... Mpira wa afrika ni ule ule kama kulivyo na tofaut ligi ya spain na ya england... Huu upuuzi wa simba na yanga zifutwe kila siku unaonesha umbumbumbu mkubwa. We ukiacha kushabikia hazidhuriki hata kidogo
Kwa kweli upo sahii club za afrika zikipanda kiwango zitashiriki UEFA[emoji1]Sio Yanga au Simba au Tz hata afrika nzima soka limeshuka ndio maana huwezi kuona club za afrika zikishiriki UEFA.