Ili kuboresha soka nchini Tanzania , Simba na Yanga " ziuawe " ni mbovu mno !

Ili kuboresha soka nchini Tanzania , Simba na Yanga " ziuawe " ni mbovu mno !

Kwa kweli upo sahii club za afrika zikipanda kiwango zitashiriki UEFA[emoji1]
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tutaiona Taifa Stars ikicheza Euro Cup
 
Ukishaona mtu kama Hajji Manara au Mze Akilimali anatawala mpira wakati hachezi basi juwa hapo kuna uwalakini. Yanga wanalalamika kwa kufungwa eti wanasema Mze Akilimali alizuiliwa kubugia ugoro langoni mwa Simba na Simba nao wanalalamika eti hawajafunga magoli mengi kwa sababu Manara alivaa hirizi mguu wa kushoto na amekata viuno bila kujipiga vidole.
 
Mkuu ulichoongea ni kweli kabsa, hao unaoona wanatukana au kupinga hoja yako ni vijana wadogo ambao wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana na wanakaa kwa mashemeji zao. Ila kiuhalisiia mimi nilishaacha siku nyingi kufuatilia mpira wa bongo. Na sababu si timu za simba na yanga tu bali tanzania nzima haupo u serious kwenye soka. Angalia mizengwe inayoendelea ligi za chini mfano 1st division, au cheki ile mechi ya yanga na mbeya city yaan hakuna cha maana viongozi wenywe wanaingia madarakani kwa rushwa na kujua, sura ni zile zile tangu miaka hiyo hadi leo na hakutakuwa na lamaana lolote ndio maana sisi hata Kenya au Uganda hatuwawezi ng'o.
 
Simba na Yanga zikifa na mpira wa Bongo unakufa..ndio maana mwaka 87 Yanga iliwabeba Simba wasishuke daraja...waulize Kenya baada ya kuziondoa Gor Mahia na FC Leopards.. Tatizo Bongo viongozi kama Aveva,Kaburu,Hans Pope,Malinzi nk
 
Mkuu mpira siku hizi Bongo hakuna, mimi nimeacha kwenda uwanjani muda mrefu sana. Viwango vinavyoonyeshwa na wachezaji wetu kwenye ligi ya Premier enzi tunasoma sekondari ilikua ni viwango vya UMISETA,
Lini ulikuwepo?! Hii kauli ya urithi inanikera sana.
 
Nani alikudanganya zikifa ndio tutapata mafanikio,nakushauri nenda kashabikie Tukuyu
 
Nani alikudanganya zikifa ndio tutapata mafanikio,nakushauri nenda kashabikie Tukuyu
Kule kwetu Kyela ipo Kajunjumele boys , ni noma ! Juzi Tumeitandika Katumbasongwe bao 5-0
 
Back
Top Bottom