Ili kuboresha soka nchini Tanzania , Simba na Yanga " ziuawe " ni mbovu mno !

Watu wa Yanga katika ubora wao!
Hapo mmepigwa moja tu,mnasema hamkuona mpira,Mbeya mlibanwa mkaona wachezaji wameongezeka wakawa 17,hamuishi visa wana historia nyie.
 
Mimi huwaga naona tunatofautiana sana binafsi siwezi angalia game ya kibongo
Yani kama umezoea kuangalia game za nje ukirudi kuangalia zetu tena za ligi kuu utaona nikama watoto wanacheza tu mitaani, kuanzia mchezo wenyewe ata muonekano wa viwanja vyetu tu....
 
Sio Yanga au Simba au Tz hata afrika nzima soka limeshuka ndio maana huwezi kuona club za afrika zikishiriki UEFA.
 
Haya mawazo ya kipuuzi kabisa. Anzisha team zako... Shabikia team unazoona zina mpira mzuri. Huu ujinga uwatoke hulazimishwi kushabikia simba wala yanga.... Mpira wa afrika ni ule ule kama kulivyo na tofaut ligi ya spain na ya england... Huu upuuzi wa simba na yanga zifutwe kila siku unaonesha umbumbumbu mkubwa. We ukiacha kushabikia hazidhuriki hata kidogo
 
Ama kweli kufungwa kubaya. Huu ndiyo uzuri wa Simba na Yanga, ni yatokanayo, baada ya mpambano.
Wapo waliopoteza mali zao, waliachana na Wake zao/ Wapenzi wao.
Na wengine kuwaza bora mpambano, usingekua trh ile 29, J, pili Ataendaje kazini na kumeharibika.
Wapo waliewaza kuacha kushabikia timu, ila mbaya, wapo waliemuana Msanyigwa, Tshishimbi Mkongomani, Kessy Mzee wa kampa kampa tena amelipa deni, eti ni Wanachama wa kutupwa wa Simba.
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…