Mkuu ulichoongea ni kweli kabsa, hao unaoona wanatukana au kupinga hoja yako ni vijana wadogo ambao wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana na wanakaa kwa mashemeji zao. Ila kiuhalisiia mimi nilishaacha siku nyingi kufuatilia mpira wa bongo. Na sababu si timu za simba na yanga tu bali tanzania nzima haupo u serious kwenye soka. Angalia mizengwe inayoendelea ligi za chini mfano 1st division, au cheki ile mechi ya yanga na mbeya city yaan hakuna cha maana viongozi wenywe wanaingia madarakani kwa rushwa na kujua, sura ni zile zile tangu miaka hiyo hadi leo na hakutakuwa na lamaana lolote ndio maana sisi hata Kenya au Uganda hatuwawezi ng'o.