Uchaguzi 2020 Ili kufuta kidomo domo cha kina Lissu, nashauri Tume ya Uchaguzi ihesabu kura zote kwa njia ya uwazi

Ujinga wako tu unafikiri Lissu hashindi kwa sababu amepumzika siku mbili tatu hizi mmh!
 
Naunga mkono hoja.
 
Unataka magu afe kwa pressure wewe?
 
Swala sio kuhesabu kura wazi. Swala ni kupiga kura halali. Wizi hauko kwenye kuhesabu. Wizi uko kwenye kuongeza karatasi za kura, kuzuia kupiga kura, kupiga kura mara mbili nk!
 
Kama kesi ya wakurugenzi tu mlikata rufaa hiyo ya kuhesabu kura wazi wazi ndo mtaweza.Hakuna jambo lolote lile mnaloweza kulifanya ili kuonyesha uwiano sawa wakisiasa kwasababu kufanya hivyo ndio mwisho wenu.na viongozi wako wanalijua hilo.Ila hicho kichaka mlichojificha polepole kinazidi kupukutika.
 
Wana huo ubavu?
 
Uliona kilichotokea kwenye mchakato wa kupata wabunge CCM? Uliodhani watashinda walipigwa chini... Sasa wafanye hivyo tena unadhani CCM itapumua...
Wafukirie CCM wenzako kama..
Katambi.. shinyanga pale..
Silinde ... Tunduma pale..
Tulia.. Mbeya pale..
Hao tu unadhani watakuwa na hali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…