kaitamarogo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 461
- 495
We bia yetu au mkojo wetuAcheni uwoga tutawashinda kweupe huyo lissu anawalisha matango pori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bia yetu au mkojo wetuAcheni uwoga tutawashinda kweupe huyo lissu anawalisha matango pori
Ujinga wako tu unafikiri Lissu hashindi kwa sababu amepumzika siku mbili tatu hizi mmh!Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Naunga mkono hoja.Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Unataka magu afe kwa pressure wewe?Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Wana huo ubavu?Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.