Mpira haupo kikanda mkuu na mpira ni one huge comunity mwishowe utataka kila kabila liwe represented na timu ya kikabila na hii ni 21 centurySimba na yanga ni vilabu vya kariakoo utakuta mtu yupo mbeya na mbeya inacheza na timu moja kati ya izo mbili cha ajabu anashangilia simba au yanga,ili ndio tatizo kubwa suruhisho ni kila mtu apende timu kulingana na anakotoka ndio kukua kwa soccer la kiushindani
Kwan hao akina gwambina na namungo ni nini kinawazuia waaifanye vzrTake it from me kwa usimba na uyanga wenu kama nchi hii itakuja kufikia kufikia hata namba 70 ya rank za Fifa mpaka wote tutaondoka hapa duniani....
Mtaishia kuwasikiliza Manara na Murro wakirushiana vijembe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyMpira haupo kikanda mkuu na mpira ni one huge comunity mwishowe utataka kila kabila liwe represented na timu ya kikabila na hii ni 21 century
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu utakuta mleta mada eti naye anajiita msomi,mm nadhani hii ni kati ya mada ya kipumbavu kuwahi kuletwa humu.
Ww ukiwa mmoja wapoSimba na yanga ni vilabu vya kariakoo utakuta mtu yupo mbeya na mbeya inacheza na timu moja kati ya izo mbili cha ajabu anashangilia simba au yanga,ili ndio tatizo kubwa suruhisho ni kila mtu apende timu kulingana na anakotoka ndio kukua kwa soccer la kiushindani
Vip na wingereza wazifute Man united, Man sity, Asernal, na Livapool maana vinaua soka la nchi hiyo.
La hasha!...usichanganye mada hao wenzetu wanajitambua huwezi linganisha na vichekesho hivi vyetu,si unaona viwango?...usilinganishe kabisa zile clubs na hizi janja janja zetu,si uliwaona everton hapa?au Sevilla uliona kiwango kile na kilichowapata simba?Vip na wingereza wazifute Man united, Man sity, Asernal, na Livapool maana vinaua soka la nchi hiyo.