Ili kuinua kiwango cha soka Tanzania, Simba na Yanga zifutwe

Ili kuinua kiwango cha soka Tanzania, Simba na Yanga zifutwe

Azam fc ilikuja vzuri kuwapa challenge hawa simba na yanga ila naona walikua wanatumia gharama nyingi kuliko uingizaji wa pesa, ila wangeendelea vile vile nahisi wangekua juu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba na yanga ni vilabu vya kariakoo utakuta mtu yupo mbeya na mbeya inacheza na timu moja kati ya izo mbili cha ajabu anashangilia simba au yanga,ili ndio tatizo kubwa suruhisho ni kila mtu apende timu kulingana na anakotoka ndio kukua kwa soccer la kiushindani
Mpira haupo kikanda mkuu na mpira ni one huge comunity mwishowe utataka kila kabila liwe represented na timu ya kikabila na hii ni 21 century

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu utakuta mleta mada eti naye anajiita msomi,mm nadhani hii ni kati ya mada ya kipumbavu kuwahi kuletwa humu.
 
Jiulize wakenya wenzetu wanatuacha hivi hivi lakini je wao bado wameukumbatia U Gor mahia na U fc Leopard hadi leo?
Mnafungua hadi tawi bungeni...yaani kila kitu siasa..tunachekesha...hii ww umeisikia wapi tena duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba na yanga ni vilabu vya kariakoo utakuta mtu yupo mbeya na mbeya inacheza na timu moja kati ya izo mbili cha ajabu anashangilia simba au yanga,ili ndio tatizo kubwa suruhisho ni kila mtu apende timu kulingana na anakotoka ndio kukua kwa soccer la kiushindani
Ww ukiwa mmoja wapo
 
Vip na wingereza wazifute Man united, Man sity, Asernal, na Livapool maana vinaua soka la nchi hiyo.
La hasha!...usichanganye mada hao wenzetu wanajitambua huwezi linganisha na vichekesho hivi vyetu,si unaona viwango?...usilinganishe kabisa zile clubs na hizi janja janja zetu,si uliwaona everton hapa?au Sevilla uliona kiwango kile na kilichowapata simba?
Huko ndio tunatakiwa tuelekee kama taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom