Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni mekupata kakaNdio maana nimekwambia ni story ndefu but kwa kifupi. ..
Shule yaani elimu na
Dini
Viliwafanya wao kutawanyika Tz nzima na kujulikana haraka.
Wazungu kihistoria walifikia usafwani, ila chifu wa wasafwa mzee Lyoto akaamuru kuchomwa Shule na makanisa mbeya yaani uyole ya Leo hasa maeneo ya ndundu na nsalaga na Wazungu wakaamua kwenda unyiha mbozi nako hawakupokelewa vyema wakasonga hadi ileje kwa wandali nako haaakupokelewa fresh Ndio wakaingia unyakyusani huko wakapokea mapokezi mazuri na wakaanza kulima na kujenga Shule na makanisa.
So ni story ndefu mno
hao dharau jadi yao. tushawazoea.Kwanini wanyakyusa wanawadharau wasafwa?