Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Morisson ndio mchezaji bora wa msimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mchezaji ni mtulivu sana angekuwa ni wa kupaniki nadhani angekuwa keshapigana tangu kuanzia mechi yake ya pili kucheza hadi Jana. Sisi tunamtrgemea sana na ni Bonge la mchezaji,kazi kwenu!!Ni hivi huyo mchezaji ashajiona ni mkubwa kuliko Yanga ndio maana anafanya upuuzi. Kitendo cha nyinyi mashabiki wa yanga kumshangilia kutembea juu ya mpira pasipo na faida yoyote mmevimbisha kichwa.
Anapaswa kulindwa na wamuzi mana wachezaji wakubwa hulindwaHaka kajamaa mpaka msimu unaisha katakuwa kamechakaa,kanakula buti vibaya sana
Yaani wewe ni muangalia mpira wa bongo uliyekubuhu tena una uswahili hasa kuliko hivyo vitendo vya kiswahili vya uwanjaniTena adhabu kubwa sana, mi nilishaacha kuangalia ligi ya bongo kwasababu ya mambo ya kipuuzi kuwa mengi, mara kwenye mitandao ya kijamii naskia kuna mtu anatembea juu ya mpira nikajisemea moyoni huyo jamaa fundi sasa jana naenda kucheki game ya liver ndio nikakuta na game ya yanga cha kwanza kufanya ni kumtafuta huyo mtembea juu ya mpira na nilichokuja kukiona ni kiwiko hatari sana
Huna unalolijua wewe. Umejaa u mbu×3 alosema RageTena adhabu kubwa sana, mi nilishaacha kuangalia ligi ya bongo kwasababu ya mambo ya kipuuzi kuwa mengi, mara kwenye mitandao ya kijamii naskia kuna mtu anatembea juu ya mpira nikajisemea moyoni huyo jamaa fundi sasa jana naenda kucheki game ya liver ndio nikakuta na game ya yanga cha kwanza kufanya ni kumtafuta huyo mtembea juu ya mpira na nilichokuja kukiona ni kiwiko hatari sana
Mwizi sio mtu wa kumuaminiPOLEN sana. wana Yanga wenzangu waacheni watakawatakaosemaa tugange ya mbeleni
Leo nimeona nishauri HILI jambo VIONGOZI wangu WA Yanga wanapenda sana HILI jukwaa kwa TAARIFA tu
Ila zaidi n kuomba uongozi ukae na Morrison AJUE yuko kwa ajili ya Yanga na sio vinginevyo
Sijakataa ile penalty kukosa n kawaida ila kwa Mwenye akili na hekima ikumbukwe kuna DK KADHAA Kumi zimesimama sababu yake kujadiliana penalty ama sio
Kwa hekima kabisa akutakiwa kukimbilia ile penalty hata kidogo kisaikolojia alishatoka mchezoni walipoanza kupigana kiwiko
Niongeze tu lawama hizi zimwendee capt huyu ndiekiongozi uwanjan alipoona sakasaka LA Morrison akutakiwa kuruhusu apige penalty
Innalilah na mwaswabrina
YOTE HERI
Yanga moja daima
Amekuwa mkubwa lini,amefanya nini cha maana!wakubwa wasiwe kina Chama waliofanya nchi ikipata uwakilishi wa timu 4,awe huyo MekoAnapaswa kulindwa na wamuzi mana wachezaji wakubwa hulindwa
Labda Msimu Wa PambaMorisson ndio mchezaji bora wa msimu
Kwanza sioni sababu ya wewe kupanic na kumwaga mipovu yako, morrison mpuuzi tuYaani wewe ni muangalia mpira wa bongo uliyekubuhu tena una uswahili hasa kuliko hivyo vitendo vya kiswahili vya uwanjani
Kwahiyo mifano yote hiyo uliyoitoa unataka kujustify kwamba kitendo alichokifanya Morrison kilikua sahihi?Huna unalolijua wewe. Umejaa u mbu×3 alosema Rage
1.Zidane akiwa kapteni na mchezaji tegemeo la ufaransa alimpiga Materazzi siku ya fainali ya kombe la dunia tena wakiwa hawana hata mpira. Je zizou hakuwa mchezaji mzuri?
2. Drogba alimzaba kibao vidic kwenye fainali ya UEFA CL 2008 tena pasi na mpira akalimwa umeme je Drogba hakuwa mchezaji mzuri!?
3. Rooney alimkita mwenzake kwenye robo fainali ya EURO 2006 kama sikosei akalimwa umeme,je Rooney hakuwa mchezaji mzuri? Mifano ni mingi. Ila nachotaka kukwambia ni kwamba Morrison ni mchezaji mzuri sana na kumpiga kwake kipepsi mwenzake haimuondolei ubora wake. Cha msingi tuungane Mimi na wewe kuwataka waamuzi wamlinde mana inafahamika wachezaji wakubwa hulindwa na referees