SoC04 Ili kukuza demokrasia ya Tanzania nakuchochea mabadiliko ndani ya miaka5-25 ijayo

SoC04 Ili kukuza demokrasia ya Tanzania nakuchochea mabadiliko ndani ya miaka5-25 ijayo

Tanzania Tuitakayo competition threads

Shezsweet

New Member
Joined
Jun 9, 2024
Posts
1
Reaction score
0
1.Utangulizi
Tanzania ni nchi inayo ongozwa na demokrasia.Demokrasia ni mfumo wa serikali ambapo mamlaka kuu ya serikali imewekwa Kwa watu. Mfano wa demokrasia,serikali yetu huchaguliwa na wananchi,hapa wananchi huwapigia kura viongozi wao wa serikali.
MALENGO YA DEMOKRASIA.
1.Maadili ya uhuru
2.kutoa mazingira Kwa ajili ya ulinzi na utambuzi wa haki za binadamu.
ILI KUKUZA DEMOKRASIA YA TANZANIA YAFUATAYO YANAPASWA KUFANYIKA.
1.Mabadiliko ya Sheria yaliyofanyika yaende sambamba na mabadiliko madogo ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
2.Jukumu lakusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa,liwe chini ya tume huru ya uchaguzi.
3.Utoaji wa elimu Kwa wapiga kura Kila unapo karibia muda wa uchaguzi.
4.Kuboreshwa au kuandikwa upya Kwa daftari la mpiga kura kabla ya chaguzi zijazo.
5.Iwekwe wazi ni Kwa namna gani teknolojia itatumika ili kuondoka sintofahamu iliyopo Sasa.
FAIDA ZA DEMOKRASIA
1.Ni njia yakutatua migogoro Kwa Amani.
2 Usawa mbele ya Sheria.
3.Kuheshimu utu wa binadamu.
HITIMISHO
Ili kua na uchaguzi huru nawa haki viongozi wenyewe dhamana Wana takiwa kufuata misingi ya demokrasia.

 
Upvote 0
Back
Top Bottom