Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Tatizo liko wapi? Mtaanza kusema wasukuma ni wengi sana kuliko wandengereko. Wazanzibari ni watanzania kama watanzania wengine tu.Hapo hesabu zinakataa, ikifanya hivyo wazenji watanufaika zaidi maana kwa idadi ya watu wao wapo chini sana, sidhani kama wakazi wote wa Zanzibar kwa idadi yao wanawazidi wakazi wanaoishi Mwanza kwa mfano.
Ndio kama nchi ni moja wachukuliwe tu kama ni miongoni mwa makabila mengine na wasichukuliwe kama ni raia kutoka nchi nyingine.Tatizo liko wapi? Mtaanza kusema wasukuma ni wengi sana kuliko wandengereko. Wazanzibari ni watanzania kama watanzania wengine tu.
Tugawane na raia sawa kwa sawaHii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Na ardhi tugawane 50/50.Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Zanzibar ichukuliwe kama mkoa na fursa zigawanywe sawa kwa mikoa yote ya TanzaniaTatizo liko wapi? Mtaanza kusema wasukuma ni wengi sana kuliko wandengereko. Wazanzibari ni watanzania kama watanzania wengine tu.
Zanzibar ina mila na desturi zake hivyo lazima vilindwe. Tanganyika iko sawa kihadhi na Zanzibar!Zanzibar ichukuliwe kama mkoa na fursa zigawanywe sawa kwa mikoa yote ya Tanzania
Yaani umesemaje? Kwa kwa sasa mnagawanaje?Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Nusu bin nusu... Mchanga si tutawauzia?Yaani umesemaje? Kwa kwa sasa mnagawanaje?
Mil 2 wamefika liniUnagawanaje sawa kwa sawa, nchi moja inawa tu milioni 60, nyingine ina watu milioni 2?
Hao wenye watu milioni 2 ni nchi pia. Watanganyika kuwa milioni zaidi ya 60 hakuifanyi Zanzibar isiwe nchi.Unagawanaje sawa kwa sawa, nchi moja inawa tu milioni 60, nyingine ina watu milioni 2?
Hakuna usawa wa namna hiyoUnagawanaje sawa kwa sawa, nchi moja inawa tu milioni 60, nyingine ina watu milioni 2?
Mil 2 wamefika lini
Kila mtu abaki kwaoTatizo liko wapi? Mtaanza kusema wasukuma ni wengi sana kuliko wandengereko. Wazanzibari ni watanzania kama watanzania wengine tu.