Na serikali iwe moja tu.Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Kwanza rudisheni Tanganyika.Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Hivi Tanganyika ni nchi? Kivipi?Hao wenye watu milioni 2 ni nchi pia. Watanganyika kuwa milioni zaidi ya 60 hakuifanyi Zanzibar isiwe nchi.
Zanzibar yote ni sawa na mikoa mitatu au miwili ya Tanzania baraHii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
HakikaNa ardhi tugawane 50/50.
Zanzibar hii ambayo ni sawa na wilaya ya Temeke? This mode has never been done anywhere and do you know why? Kuna kitu kinaitwa balancing.Hapo hesabu zinakataa, ikifanya hivyo wazenji watanufaika zaidi maana kwa idadi ya watu wao wapo chini sana, sidhani kama wakazi wote wa Zanzibar kwa idadi yao wanawazidi wakazi wanaoishi Mwanza kwa mfano.
Hao wenye watu milioni 2 ni nchi pia. Watanganyika kuwa milioni zaidi ya 60 hakuifanyi Zanzibar isiwe nchi.
Una mawazo mazuri sana.Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Yes... Ukipewa Hela ya mkopo bilioni 5 lazima ulipe. Sema Zanzibar utamaduni wao hawatalipa riba ya deni.Una mawazo mazuri sana.
Deni la Taifa vile vile tulipe pasu bin pasu.
Ni nchi iliyovaa koti la Muungano na kujiita Tanzania-bara.Hivi Tanganyika ni nchi? Kivipi?
Biashara ya kimataifa hakuna cha utamaduni,uswahili haulipi!Yes... Ukipewa Hela ya mkopo bilioni 5 lazima ulipe. Sema Zanzibar utamaduni wao hawatalipa riba ya deni.
Nusu bin nusu... Uza kahawa au dhahabu halafu wauze karafuu mapato yakusanywe pamoja Kisha tugawane nusu kwa nusu!!Biashara ya kimataifa hakuna cha utamaduni,uswahili haulipi!
HahahaKila mtu abaki kwao
Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
😁😁😁 yaani zanzibar itoe watu timamu 500 wanaoqualify kuajiriwa?Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Mzee ikiwa 50/50 wanufaika ni wabara sio wazenji.Hapo hesabu zinakataa, ikifanya hivyo wazenji watanufaika zaidi maana kwa idadi ya watu wao wapo chini sana, sidhani kama wakazi wote wa Zanzibar kwa idadi yao wanawazidi wakazi wanaoishi Mwanza kwa mfano.
Ndo hapo wabara watajaa Zenji 😂😂😁😁😁 yaani zanzibar itoe watu timamu 500 wanaoqualify kuajiliwa?
Wewe jamaa watu wa CHEKA TU au WATUBAKI wakutafute uwape "script"😁😁😁 yaani zanzibar itoe watu timamu 500 wanaoqualify kuajiliwa?