Ili kukuza muungano tugawane sawa kwa sawa na Zanzibar

Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.

Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.

Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.

Hii itaimarisha muungano wetu.
Kugawana nini?
Tanzania ni ya wananchi wa Tanganyika na Zanzibar, wanafanya shughuli zao za kiuchumi kwa kuunganishwa na siasa.
Kodi na maliasili zinakusanywa kwa ajili ya wananchi hao kupitia wawakilishi wao na kwa mazingira yao.
Kugawana ni kwa wanasiasa na wezi wanaowaibia wananchi kama ilivyokuwa kwa wakoloni kabla ya miaka ya 1900 (kumb. Mkutano wa Berlin).
Sasa wananchi wanatakiwa waungane wafurushe wezi halafu washirikiane kiuchumi kwa faida yao wenyewe.
Serikali ziwe za wananchi kwa manufaa yao.
Watanganyika na wazazibari waungane kwa fursa za kiuchumi badala ya siasa zinazowanufaisha wachache.
Muungano uwe wa wananchi zaidi na siyo wanasiasa wachache ambao ni wachonganishi.
 
Aisee!!
 
Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.

Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.

Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.

Hii itaimarisha muungano wetu.
Samahani sana mkuu, hichi ulicho kiandika una maanisha au unajaribu kufanya challenge
 
Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.

Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.

Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.

Hii itaimarisha muungano wetu.
Mimi napendekeza 75% wapewe zanzibar
 
Halafu marejesho ya hayo madeni pia yawe nusu kwa nusu
Hapana... Kulipa mgawo ufanyike kwa kuzingatia wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao huchangia Pato la Tanganyika.

Au unadhani Salim Bakhressa ni mtanganyika? Bakhressa ni mzanzibari yule.

Kwa ivo deni Tanganyika italipa 95% na Zanzibar 5%.
 
Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.

Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.

Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.

Hii itaimarisha muungano wetu.
Sio wazo baya.
Na kwenye kulipa hiyo mikopo iwe hivyo hivyo, sawa kwa sawa. Na mishahara ya hao waajiriwa igharamiwe sawa kwa sawa. Na gharama za kuendesha balozi na Wizara ya Mambo ya Nje zilipiwe sawa kwa sawa. Jeshi nalo hivyo hivyo. Nusu kwa nusu kwa wanajeshi na nusu kwa nusu kulipia gharama kama mishahara , silaha na kadhalika.
Nafikiri hata wafungwa wawe sawa kwa sawa. Upande mmoja ukiwa na wafungwa zaidi, wahamishiwe upande wa pili ili kubalance mambo. Sio wazo baya kabisa.

Amandla...
 
Hii ukienda kuidai mahakamani si muungano utazuiwa kuendesha shughuli zake mpaka pale mahakama itakapotoa maamuzi?
 
Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.

Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.

Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.

Hii itaimarisha muungano wetu.

Wazo zuri. Ila na kwenye kulipa madeni tulipe sawa. Kama ni Billion 2 walipe 1 B na Tanganyika walipe 1 B.
 
Back
Top Bottom