Kugawana nini?Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Aisee!!Kugawana nini?
Tanzania ni ya wananchi wa Tanganyika na Zanzibar, wanafanya shughuli zao za kiuchumi kwa kuunganishwa na siasa.
Kodi na maliasili zinakusanywa kwa ajili ya wananchi hao kupitia wawakilishi wao na kwa mazingira yao.
Kugawana ni kwa wanasiasa na wezi wanaowaibia wananchi kama ilivyokuwa kwa wakoloni kabla ya miaka ya 1900 (kumb. Mkutano wa Berlin).
Sasa wananchi wanatakiwa waungane wafurushe wezi halafu washirikiane kiuchumi kwa faida yao wenyewe.
Serikali ziwe za wananchi kwa manufaa yao.
Watanganyika na wazazibari waungane kwa fursa za kiuchumi badala ya siasa zinazowanufaisha wachache.
Muungano uwe wa wananchi zaidi na siyo wanasiasa wachache ambao ni wachonganishi.
Hakuna kiti kama hicho.Nusu bin nusu... Uza kahawa au dhahabu halafu wauze karafuu mapato yakusanywe pamoja Kisha tugawane nusu kwa nusu!!
Samahani sana mkuu, hichi ulicho kiandika una maanisha au unajaribu kufanya challengeHii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Fikiria nje ya boksi.Samahani sana mkuu, hichi ulicho kiandika una maanisha au unajaribu kufanya challenge
Sisi tumeungana... Kubalansi mizani tugawane sawa kwa sawa.Tutagawanaje sawa kwa sawa vitu ambavyo hatujazalisha sawa kwa sawa? Kabla ya kufikira mgawanyo umefikiria uzalishaji?
Tunazalisha sawa kwa sawa?Sisi tumeungana... Kubalansi mizani tugawane sawa kwa sawa.
Udugu huwa haujali mambo hayo!Tunazalisha sawa kwa sawa?
Mimi napendekeza 75% wapewe zanzibarHii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Wewe ndiyo muungwana wa kweli!!Mimi napendekeza 75% wapewe zanzibar
Halafu marejesho ya hayo madeni pia yawe nusu kwa nusuKama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
mgao uendane na idadi ya watu.Tatizo liko wapi? Mtaanza kusema wasukuma ni wengi sana kuliko wandengereko. Wazanzibari ni watanzania kama watanzania wengine tu.
Hapana... Kulipa mgawo ufanyike kwa kuzingatia wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao huchangia Pato la Tanganyika.Halafu marejesho ya hayo madeni pia yawe nusu kwa nusu
Sio wazo baya.Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Kwani huo utajiri wake anauvuna Zanzibar au Tanganyika?Au unadhani Salim Bakhressa ni mtanganyika? Bakhressa ni mzanzibari yule.
Uchuro, unyonyaji huu.Kwa ivo deni Tanganyika italipa 95% na Zanzibar 5%.
Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.