Ili kuleta changamoto mpya chadema, Tundu lisu asigombee urais amuombe mwabukusi agombee

Pumbavuu kabisa we utakuwa mnyakyusa
 
Mwambukusi awe mgombea binafsi wa urais wa JMT
 
🤣🤣🤣🤣🤣hebu acheni mizaha yaani mwambukusi awe namba moja
Urais wa nchi yetu si wengi wanaoweza kuushindwa. Huyu mwamba ana sifa zote ni jasiri ana uchungu na nchi ni msomi hapendi maonezi ni mtu wa haki asie yumbishwa
 
Mimi nadhani Mbowe ndo agombee uraisi.
 
Hii nchi inaweza kuongozwa na yoyote hata kipofu
 
Tulionya kuwa Chadema inakaribia kuzimu, kimetoka kuwa chama cha kisiasa kuwa tawi la TLS. Kama mpaka mwabukusi anafikiriwa kuwa mgombea hii ni hatari.
 
Kura ndio zinazoamua kwenye uchaguzi wa nchi? Hizi chaguzi ambazo vyombo vya dola vinajionyesha wazi kuibeba ccm?
 
Kwa nn isiwe kwenye chama chenu uko CCM?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…