Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Naona kabisa kumekuwa na mpasuko nchini kuna ambao wameamua kushabikia au kuunga mkono Hamas na Hezbollah na wengine ambao wanaunga mkono Israel.
Huu mpasuko si mzuri kwa nchi. Inabidi kuangalia namna ambavyo Rais wetu anaweza kuwakutanisha hawa watu akawapatisha. Sababu ni rais anayesikilizwa sana duniani. Na ili kudumisha amani na mshikamano kwa nchi yetu.
Vita si jambo zuri hata kidogo na najua hali ambayo inatokea Palestine kwa sasa ule mji ni kama unasambaratishwa. Majengo mengi yame flatishwa. Mahandaki ambayo yalijengwa kwa gharama kubwa na muda mrefu yamebomolewa. Na viongozi kadhaa wa Hamas wameuawa.
Tunakumbuka hata viongozi wa Iran wameathiriwa na vita hivi. Kuna ambao wameuawa katika mazingira ya kutatanisha.