kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
- Thread starter
- #21
Congo iko dhaifu sana kijeshi na kisiasa. Na yote ni matokeo ya mipango ya rwanda ya kagame. Rwanda ina majasusi kibao kwenye serikalu na jeshi la congo. Drc wangekua wako vizuri wangewasaidia wanyarwamda kuondoa utawala wa watutsi wachache kijeshi. Wangeua ndege wawili kwa jiwe moja kwa sababu drc hawawezi kua salama kwa sababu lengo la rwanda la muda mrefu kwa mtazamo binafsi inaelekea ni kujitenga majimbo ya north and south kivu na kuundwa dola ya kitutsi ambayo itaungana baadae na rwanda.Kweli tupu.jamaa wanajiona bora sana.kufanya kila linalo wezekana huko Rwanda wagawane madaraka wao kwanza ndio wageukie congo.ila nisichoelewa kwanini DRC hawatoi silaha kwa wahutu wakaenda kushambulia huko kwao.Maoni binafsi.
Ukifuatilia vizuri utaona campaign za m23 na waasi wengine kama Adf ni kuwatisha kwa mauaji na kuharibu makazi yao mbari za kibantu ili wahame toka maeneo yao.