Ili kumaliza matatizo mashariki ya Congo ni lazima kung'oa utawala wa Kitutsi Rwanda

Kweli tupu.jamaa wanajiona bora sana.kufanya kila linalo wezekana huko Rwanda wagawane madaraka wao kwanza ndio wageukie congo.ila nisichoelewa kwanini DRC hawatoi silaha kwa wahutu wakaenda kushambulia huko kwao.Maoni binafsi.
Congo iko dhaifu sana kijeshi na kisiasa. Na yote ni matokeo ya mipango ya rwanda ya kagame. Rwanda ina majasusi kibao kwenye serikalu na jeshi la congo. Drc wangekua wako vizuri wangewasaidia wanyarwamda kuondoa utawala wa watutsi wachache kijeshi. Wangeua ndege wawili kwa jiwe moja kwa sababu drc hawawezi kua salama kwa sababu lengo la rwanda la muda mrefu kwa mtazamo binafsi inaelekea ni kujitenga majimbo ya north and south kivu na kuundwa dola ya kitutsi ambayo itaungana baadae na rwanda.
Ukifuatilia vizuri utaona campaign za m23 na waasi wengine kama Adf ni kuwatisha kwa mauaji na kuharibu makazi yao mbari za kibantu ili wahame toka maeneo yao.
 
Mimi siamini unachosema. Kwanza hakina data or facts to say such things. Infact, naona Congo waache kulaumu rwanda kila wakati. Congo ina matatizo makubwa ya kikabila , ukanda na utawala kwa muda mrefu. Kwanza nchi ya congo waivunjr vunje maana hawatakaa kujitawala.
 
Dawa ya watutsi na kumtia adabu kagame ni drc kukodi Wagner Group
 
In short: lazima kagame apinduliwe na auawe kabisa!
ukiua kwa upanga sharti nawe ufe kwa upanga!
 
Dawa yao ni serikali ya DRC itie mzigo Wagner PMC waingie kazini. Hayo makundi yote ya waasi ndio itakua mwisho wao. Kwa jinsi Wagner wanavyokichafua it take only 2 years kuweka kila kitu sawa.
 
Kama vip CONGO wajiunge na NATO ili gaidi KAGAME aache kuwaua wacongo na kuiba madini.
 
drc migogoro ipo hata kabla ya Kagame kwenda Rwanda ( sio tu kuwa rais ) watu weny asili ya ubaguz hawaish kubaguana Nyerere alisema ukiwabagua wazanzibar kesho utawabagua wazaramo kesho mtabaguana kwa ukoo kesho mtangia mpk kwen dini so ubaguz haush kwa kuruhus kuwatenganisha wawili , WAKONGO WANA MATATIZO NA TATIZO HILO LIKIISHA BASI WATAKUWA NA AMANI MILELE

RUSHWA , UBINAFS & UTENGANO
 
Kweli tupu.jamaa wanajiona bora sana.kufanya kila linalo wezekana huko Rwanda wagawane madaraka wao kwanza ndio wageukie congo.ila nisichoelewa kwanini DRC hawatoi silaha kwa wahutu wakaenda kushambulia huko kwao.Maoni binafsi.
hilo swali lako ndo jibu la kwann drc haina aman wala shida sio rwanda au kagame
 
Ila Rwanda ni kaichi kidogo kijografia sana ,why wanasumbua hivi...
 
Akili zako sawa na za wa Congo! kumbe congo kuna raia wa kitusi! Kisekedi mbona anasema hawapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…