Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bull crapHajawahi Kunidanganya na ndiyo amekuwa akinipa Matokeo ya Mechi mbalimbali za Simba SC na hata zile za Taifa Stars nami huwa nawawekea hapa hapa kila Kitu na mara nyingi 85% huwa ni kweli kama siyo sahihi kabisa. Huyu Mpemba anatisha na yupo vizuri mno katika Nujumu / Utabiri.
Alichotoka kuniambia muda mfupi tu uliopita ni kwamba Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club Jumamosi ijayo itakuwa ngumu mno hasa kutokana na kwamba Wakongo hao nao ni wazuri mno Kindumba / Kiuchawi hivyo inahitajika ' Kafara ' kubwa na la ' Hatari ' ili Simba SC ishinde.
Na wala hakuenda mbali bali alisema tu kwamba kama kweli Simba SC wanataka Kumfunga AS Vita Club na watinge Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika basi wakubali Kiongozi Wao mmoja ama wa juu au wa Matawi ' Afe ' pamoja na Mshabiki / Mwanachama mmoja kwani aina ya ' Jini ' ambalo Simba SC wanalitumia hasa katika Michuano hii ya Kimataifa na kidgo zile Mechi za Ligi hasa ' Viporo ' ni ' Jini ' ambalo linapenda sana Kula Damu za Watu tofauti na ' Majini ' mengine.
Vile vile akaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba hata kama Simba SC watakataa Kutoana ' Kafara ' na wakatumia mbinu nyingine na wakashinda hiyo Mechi ila wajue kuwa kuna ' Maafa ' kidogo yatatokea. Kasema Uchawi wa Kikongo ni ' Hatari ' zaidi hata kuliko ule wa Waarabu na ndiyo huo huo pia hao Wakongo ( hasa Wanamuziki wao ) wakubwa akina JB Mpiana, Koffi Olomide, Ngiama Makanda Werrason, Fallly Ipupa, Felix Wazekwa na Ferre Gola bila kuwasahau akina Extra Musica Zangul Zangul yake Ibambi Ikombi ( Roga Roga ) nao wamekuwa wakiutumia Uchawi ( Kindoki kwa Kikongo ) huo huo ili Bendi zao zijaze Viwanja na Kumbi huku Bendi zao zikikubalika.
Haya sasa wana Simba SC na Viongozi kwa yule mwenye Uchungu wa kweli na Timu huu ndiyo wakati muafaka wa Yeye kujitoa Mhanga ili afe / afariki Kusudi Simba SC ishinde huo Mchezo wa Jumamosi dhidi ya AS VIta Club na Sisi tutamshukuru na kumuweka katika Kumbukumbu zetu za Watu muhimu ndani ya Simba SC na Mashujaa wa Ukweli. Anatakiwa Kiongozi tu mmoja na Shabiki / Mwanachama mmoja.
Kwa aliye tayari ( namaanisha huyo Kiongozi ) na Shabiki / Mwanachama wanifuate haraka PM yangu ili niweze Kuwapa Maelekezo muhimu ya jinsi ya Kufa / Kufariki kwa manufaa ya Timu kwani siyo kila Kitu cha jinsi Wao watakavyoondoka kwenda Kuyaanza Maisha yao mapya Kaburini yanatakiwa yawekwe hapa hadharani.
Nawasilisha.
Nasikia kwa Alhy aly mdau Sembo alitoweshwa. Sasa itapendeza ikiwa mleta Uzi utoweshwe, au siyo wadau was do or die. Ila hapo kwenye die inabidi mtafakari kwa makini.Basi kama wewe hauko tayari mshauri ndugu yako Okwi Sunzu Boban afe kwa manufaa ya klabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha
Aiseeee Kwa hiyo Sembo hatunae tena?Nasikia kwa Alhy aly mdau Sembo alitoweshwa. Sasa itapendeza ikiwa mleta Uzi utoweshwe, au siyo wadau was do or die. Ila hapo kwenye die inabidi mtafakari kwa makini.
Hata wewe ni kiongozi wa tawi na unaipenda sana simba. Kwanini usijitoe mhanga tu ili simba itinge robo fainali?Hajawahi Kunidanganya na ndiyo amekuwa akinipa Matokeo ya Mechi mbalimbali za Simba SC na hata zile za Taifa Stars nami huwa nawawekea hapa hapa kila Kitu na mara nyingi 85% huwa ni kweli kama siyo sahihi kabisa. Huyu Mpemba anatisha na yupo vizuri mno katika Nujumu / Utabiri.
Alichotoka kuniambia muda mfupi tu uliopita ni kwamba Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club Jumamosi ijayo itakuwa ngumu mno hasa kutokana na kwamba Wakongo hao nao ni wazuri mno Kindumba / Kiuchawi hivyo inahitajika ' Kafara ' kubwa na la ' Hatari ' ili Simba SC ishinde.
Na wala hakuenda mbali bali alisema tu kwamba kama kweli Simba SC wanataka Kumfunga AS Vita Club na watinge Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika basi wakubali Kiongozi Wao mmoja ama wa juu au wa Matawi ' Afe ' pamoja na Mshabiki / Mwanachama mmoja kwani aina ya ' Jini ' ambalo Simba SC wanalitumia hasa katika Michuano hii ya Kimataifa na kidgo zile Mechi za Ligi hasa ' Viporo ' ni ' Jini ' ambalo linapenda sana Kula Damu za Watu tofauti na ' Majini ' mengine.
Vile vile akaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba hata kama Simba SC watakataa Kutoana ' Kafara ' na wakatumia mbinu nyingine na wakashinda hiyo Mechi ila wajue kuwa kuna ' Maafa ' kidogo yatatokea. Kasema Uchawi wa Kikongo ni ' Hatari ' zaidi hata kuliko ule wa Waarabu na ndiyo huo huo pia hao Wakongo ( hasa Wanamuziki wao ) wakubwa akina JB Mpiana, Koffi Olomide, Ngiama Makanda Werrason, Fallly Ipupa, Felix Wazekwa na Ferre Gola bila kuwasahau akina Extra Musica Zangul Zangul yake Ibambi Ikombi ( Roga Roga ) nao wamekuwa wakiutumia Uchawi ( Kindoki kwa Kikongo ) huo huo ili Bendi zao zijaze Viwanja na Kumbi huku Bendi zao zikikubalika.
Haya sasa wana Simba SC na Viongozi kwa yule mwenye Uchungu wa kweli na Timu huu ndiyo wakati muafaka wa Yeye kujitoa Mhanga ili afe / afariki Kusudi Simba SC ishinde huo Mchezo wa Jumamosi dhidi ya AS VIta Club na Sisi tutamshukuru na kumuweka katika Kumbukumbu zetu za Watu muhimu ndani ya Simba SC na Mashujaa wa Ukweli. Anatakiwa Kiongozi tu mmoja na Shabiki / Mwanachama mmoja.
Kwa aliye tayari ( namaanisha huyo Kiongozi ) na Shabiki / Mwanachama wanifuate haraka PM yangu ili niweze Kuwapa Maelekezo muhimu ya jinsi ya Kufa / Kufariki kwa manufaa ya Timu kwani siyo kila Kitu cha jinsi Wao watakavyoondoka kwenda Kuyaanza Maisha yao mapya Kaburini yanatakiwa yawekwe hapa hadharani.
Nawasilisha.
Mkuu nakumbuka mechi na Nkana, simba walienda half time wakiwa wanaongoza 2-1, na game walilishika haswa sidhani kama kulikuwa na haja ya kuroga half time..Itakuwa kama ile mliyotoa kwa nkana au kubwa kwa ile? Maana mechi ya nkana mlitangulizwa, wakati wa mapumziko mkatoa sadaka ndo goli ajabu ajabu la chama likawapeleka mbele.
Barafu la moto