Ili Kumfunga Mkongo AS Vita Club Jumamosi kwa Mkapa ' Mtaalam ' wa Pemba kasema inabidi Kiongozi na Mshabiki mmoja Wafe!

Kwa kazi hiyo mngeweka mezani kiinua mgongo ili familia ya mhusika inufaike kipindi ambacho mpendwa wao kaondoka duniani. Ila kwa wale wachezaji wanaobebeshwa ndumba hakika kwa hawa wakongo inabidi kujiuliza mara mbili kabla ya kubeba jukumu ilo!!
 
Hajawahi Kunidanganya na ndiyo amekuwa akinipa Matokeo ya Mechi mbalimbali za Simba SC na hata zile za Taifa Stars nami huwa nawawekea hapa hapa kila Kitu na mara nyingi 85% huwa ni kweli kama siyo sahihi kabisa. Huyu Mpemba anatisha na yupo vizuri mno katika Nujumu / Utabiri.

Alichotoka kuniambia muda mfupi tu uliopita ni kwamba Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club Jumamosi ijayo itakuwa ngumu mno hasa kutokana na kwamba Wakongo hao nao ni wazuri mno Kindumba / Kiuchawi hivyo inahitajika ' Kafara ' kubwa na la ' Hatari ' ili Simba SC ishinde.

Na wala hakuenda mbali bali alisema tu kwamba kama kweli Simba SC wanataka Kumfunga AS Vita Club na watinge Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika basi wakubali Kiongozi Wao mmoja ama wa juu au wa Matawi ' Afe ' pamoja na Mshabiki / Mwanachama mmoja kwani aina ya ' Jini ' ambalo Simba SC wanalitumia hasa katika Michuano hii ya Kimataifa na kidgo zile Mechi za Ligi hasa ' Viporo ' ni ' Jini ' ambalo linapenda sana Kula Damu za Watu tofauti na ' Majini ' mengine.

Vile vile akaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba hata kama Simba SC watakataa Kutoana ' Kafara ' na wakatumia mbinu nyingine na wakashinda hiyo Mechi ila wajue kuwa kuna ' Maafa ' kidogo yatatokea. Kasema Uchawi wa Kikongo ni ' Hatari ' zaidi hata kuliko ule wa Waarabu na ndiyo huo huo pia hao Wakongo ( hasa Wanamuziki wao ) wakubwa akina JB Mpiana, Koffi Olomide, Ngiama Makanda Werrason, Fallly Ipupa, Felix Wazekwa na Ferre Gola bila kuwasahau akina Extra Musica Zangul Zangul yake Ibambi Ikombi ( Roga Roga ) nao wamekuwa wakiutumia Uchawi ( Kindoki kwa Kikongo ) huo huo ili Bendi zao zijaze Viwanja na Kumbi huku Bendi zao zikikubalika.

Haya sasa wana Simba SC na Viongozi kwa yule mwenye Uchungu wa kweli na Timu huu ndiyo wakati muafaka wa Yeye kujitoa Mhanga ili afe / afariki Kusudi Simba SC ishinde huo Mchezo wa Jumamosi dhidi ya AS VIta Club na Sisi tutamshukuru na kumuweka katika Kumbukumbu zetu za Watu muhimu ndani ya Simba SC na Mashujaa wa Ukweli. Anatakiwa Kiongozi tu mmoja na Shabiki / Mwanachama mmoja.

Kwa aliye tayari ( namaanisha huyo Kiongozi ) na Shabiki / Mwanachama wanifuate haraka PM yangu ili niweze Kuwapa Maelekezo muhimu ya jinsi ya Kufa / Kufariki kwa manufaa ya Timu kwani siyo kila Kitu cha jinsi Wao watakavyoondoka kwenda Kuyaanza Maisha yao mapya Kaburini yanatakiwa yawekwe hapa hadharani.

Nawasilisha.
jitoe mhanga muzee...
 
Wee jamaa una mambo.Game ya mbabane nilikusoma nikaishia kucheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jomba unazingua mbona waarabu tuliwapiga bila Kufa mtu!!
 
Genta sisi wanaume huwa hatuchezwi ngoma kuonesha tumekua. Inatokea tu watu wanaona mabadiliko. Sasa wewe mpaka leo hii unasubiri uje uchezwe ngoma kuwa sasa umekua? Sijajua kwa kabila lenu.najua wanawake wakisha vunja ungo wanawekwa ndani then wanakuja kuchezwa ngoma...sasa wewe unasubiria hayo kweli? Kwa nini hupendi kuandika mambo ya maana mara nyingi ni utoto utoto kama huu? Au we hupendi kuonekana umekua?

Yani wewe chaaa! Pitia bandiko lako moja la mechi ya Simba mnyama dhidi ya Yanga uliyoyaandika halikutendeka hata moja na tukashinda, ulielezea kuhusu mkude kubebeshwa mikoba.
.
Uchawi ni sehemu ya kumtia hofu tu mpinzani uwanjani akose kujiamini ila kiuhalisia haufanyi kazi, kama ni uchawi kongo ndipo uliko. Simba tutashinda kwa juhudi binafsi na kujitoa kwelikweli.
Hiyo biashara ya uchawi kongo mnaijua kweli izo issue??
Toka jana hawa jamaa wanaoneka sinza ,inaonekana wanaingia kimafungu hamjiulizi ni nini??
 
Genta sisi wanaume huwa hatuchezwi ngoma kuonesha tumekua. Inatokea tu watu wanaona mabadiliko. Sasa wewe mpaka leo hii unasubiri uje uchezwe ngoma kuwa sasa umekua? Sijajua kwa kabila lenu.najua wanawake wakisha vunja ungo wanawekwa ndani then wanakuja kuchezwa ngoma...sasa wewe unasubiria hayo kweli? Kwa nini hupendi kuandika mambo ya maana mara nyingi ni utoto utoto kama huu? Au we hupendi kuonekana umekua?

Ni lini utaacha ' Kujipendekeza ' Kwangu? au mpaka nilale na ' Mamaako ' Mzazi ndiyo utaniheshimu na utaacha Kunifuatafuata? Nikiandika Utoto au Upuuzi Wewe Kinakuuma nini? Wewe ni nani wa Kunipangia Mimi cha Kuandika hapa JamiiForums? JamiiForums ina Majukwaa mangapi na ina Members wangapi wanaoanzisha Mada hapa Kila Uchao zilizo mbalimbali kwanini huendi huko au zingine huzisemi lakini Wewe Nyege zako za Kishoga huwa zinakutuma tu unichokonoe Mimi? Mbona Mimi sikuzuii Wewe kuacha tabia yako hiyo mbaya ya Ushoga? Na nikionekana nimekuwa Kwako ndiyo utanipanulia sasa hayo Matako yako ili nikulale au? Nimekuvumilia vya Kutosha na hii ni mara ya Tatu sasa unanifuatafuata hapa Jamvini hivyo nakuomba usije Kunilaumu. Umeshasema kuwa hunipendi na unachukia aina ya Uwasilishaji wangu hapa Jamvini ila Wewe huyu huyu ndiyo unaongoza Kuzikodolea ' Threads ' zangu 24/7 je nikikuita Wewe ni ' Taahira ' uliyetukuka nitakuwa nakosea? Pumbavu.
 
Aisee sio mchezo kama naiona vile ban iliyotukuka

Endelea Kuiombea tu Mkuu. Ulivyo Mnafiki umeona ' Unikoti ' Mimi Mchokozwaji ila aliyenichokoza Kwako Wewe ni Malaika na Mtu sahihi. Pumbavu. Niheshimu nikuheshimu ukileta Uhuni nami nakuonyesha Uhuni wangu.
 
Back
Top Bottom