Ili Kumfunga Mkongo AS Vita Club Jumamosi kwa Mkapa ' Mtaalam ' wa Pemba kasema inabidi Kiongozi na Mshabiki mmoja Wafe!

Bull crap
 
sisi kama washabiki Wa Simba humu jf tumepiga kura ya siri ya nani anatakiwa kufa ..

na kwa bahati nzuri imekuangukia wewe Mkuu Genta...

tutakumis sana broo....
RIP kwa manufaa ya timu....
 
Simba na Watanzania tutashinda kwa machozi, jasho na damu. Mungu wa Majeshi ndio nguvu yetu. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Simba
 
Hadithi za kubuni hizo! Simba nguvu Moja
 
Wazee wa uchawi kazini. Bila kuroga, mechi haichezwi.

Wakati Mo anatema ma billion. Lakini wajanja lazima wale. Kama kasajili kwa 1.5B lazima waroge angalau kwa 300M

Wanamwandaa Mo atoe hela watoto wa mjini wafanye yao
 
Hata wewe ni kiongozi wa tawi na unaipenda sana simba. Kwanini usijitoe mhanga tu ili simba itinge robo fainali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa kama ile mliyotoa kwa nkana au kubwa kwa ile? Maana mechi ya nkana mlitangulizwa, wakati wa mapumziko mkatoa sadaka ndo goli ajabu ajabu la chama likawapeleka mbele.

Barafu la moto
Mkuu nakumbuka mechi na Nkana, simba walienda half time wakiwa wanaongoza 2-1, na game walilishika haswa sidhani kama kulikuwa na haja ya kuroga half time..

Mnatumia nini kufikiri wenzetu.?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…