Ili Kumfunga Mkongo AS Vita Club Jumamosi kwa Mkapa ' Mtaalam ' wa Pemba kasema inabidi Kiongozi na Mshabiki mmoja Wafe!

Kwa kazi hiyo mngeweka mezani kiinua mgongo ili familia ya mhusika inufaike kipindi ambacho mpendwa wao kaondoka duniani. Ila kwa wale wachezaji wanaobebeshwa ndumba hakika kwa hawa wakongo inabidi kujiuliza mara mbili kabla ya kubeba jukumu ilo!!
 
jitoe mhanga muzee...
 
Wee jamaa una mambo.Game ya mbabane nilikusoma nikaishia kucheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jomba unazingua mbona waarabu tuliwapiga bila Kufa mtu!!
 
Genta sisi wanaume huwa hatuchezwi ngoma kuonesha tumekua. Inatokea tu watu wanaona mabadiliko. Sasa wewe mpaka leo hii unasubiri uje uchezwe ngoma kuwa sasa umekua? Sijajua kwa kabila lenu.najua wanawake wakisha vunja ungo wanawekwa ndani then wanakuja kuchezwa ngoma...sasa wewe unasubiria hayo kweli? Kwa nini hupendi kuandika mambo ya maana mara nyingi ni utoto utoto kama huu? Au we hupendi kuonekana umekua?

 
Hiyo biashara ya uchawi kongo mnaijua kweli izo issue??
Toka jana hawa jamaa wanaoneka sinza ,inaonekana wanaingia kimafungu hamjiulizi ni nini??
 

Ni lini utaacha ' Kujipendekeza ' Kwangu? au mpaka nilale na ' Mamaako ' Mzazi ndiyo utaniheshimu na utaacha Kunifuatafuata? Nikiandika Utoto au Upuuzi Wewe Kinakuuma nini? Wewe ni nani wa Kunipangia Mimi cha Kuandika hapa JamiiForums? JamiiForums ina Majukwaa mangapi na ina Members wangapi wanaoanzisha Mada hapa Kila Uchao zilizo mbalimbali kwanini huendi huko au zingine huzisemi lakini Wewe Nyege zako za Kishoga huwa zinakutuma tu unichokonoe Mimi? Mbona Mimi sikuzuii Wewe kuacha tabia yako hiyo mbaya ya Ushoga? Na nikionekana nimekuwa Kwako ndiyo utanipanulia sasa hayo Matako yako ili nikulale au? Nimekuvumilia vya Kutosha na hii ni mara ya Tatu sasa unanifuatafuata hapa Jamvini hivyo nakuomba usije Kunilaumu. Umeshasema kuwa hunipendi na unachukia aina ya Uwasilishaji wangu hapa Jamvini ila Wewe huyu huyu ndiyo unaongoza Kuzikodolea ' Threads ' zangu 24/7 je nikikuita Wewe ni ' Taahira ' uliyetukuka nitakuwa nakosea? Pumbavu.
 
 
Aisee sio mchezo kama naiona vile ban iliyotukuka

Endelea Kuiombea tu Mkuu. Ulivyo Mnafiki umeona ' Unikoti ' Mimi Mchokozwaji ila aliyenichokoza Kwako Wewe ni Malaika na Mtu sahihi. Pumbavu. Niheshimu nikuheshimu ukileta Uhuni nami nakuonyesha Uhuni wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…