N nteze john lungu JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 214 Reaction score 200 Mar 15, 2019 #81 KYALOSANGI said: Ukweli na uwazi maendeleo hayana ushabikiππ Click to expand... π π π π mkuu hii inatakiwa kua kauli mbiu yetu wadau wa soka la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar
KYALOSANGI said: Ukweli na uwazi maendeleo hayana ushabikiππ Click to expand... π π π π mkuu hii inatakiwa kua kauli mbiu yetu wadau wa soka la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar
S saranghae Member Joined Jul 20, 2018 Posts 7 Reaction score 1 Mar 15, 2019 #82 Vitalis Msungwite said: Itakuwa kama ile mliyotoa kwa nkana au kubwa kwa ile? Maana mechi ya nkana mlitangulizwa, wakati wa mapumziko mkatoa sadaka ndo goli ajabu ajabu la chama likawapeleka mbele. Barafu la moto Click to expand... Usiruhusu chuki ikupofue ufahamu wako
Vitalis Msungwite said: Itakuwa kama ile mliyotoa kwa nkana au kubwa kwa ile? Maana mechi ya nkana mlitangulizwa, wakati wa mapumziko mkatoa sadaka ndo goli ajabu ajabu la chama likawapeleka mbele. Barafu la moto Click to expand... Usiruhusu chuki ikupofue ufahamu wako