Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Tena bila kinga
Unamaana hii ni royal tour au!
Dah, pumzika kwa Amani Mzee Membe.Naombeni mnisaidie. Ni nani hasa anamshauri Samia Suluhu Hassan masuala ya uchumi? Tukimfahamu huyu ndiye tutalala naye mbele. [emoji1541]
Unaifahamu gesi ya taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kukodisha kwa mgeni au ni kukodisha?Kwanini tukodishe bandari kwa mgeni?. Tunanjaa kiasi gani?
Dk Blandina Kilama na mswahili mwingine lakini hii ni kazi ya matapeli kama kina boss wa yanga au rost tamu hawa wanaitwa Gold mafias kazi yao ku penetrate into country leaders na kupitisha ajenda zao. Waweza kukuta kwenye watu wa kati wa kuwaleta DP world hata gavan wa mombasa anahusikaNaombeni mnisaidie. Ni nani hasa anamshauri Samia Suluhu Hassan masuala ya uchumi? Tukimfahamu huyu ndiye tutalala naye mbele. [emoji1541]
Unaifahamu gesi ya taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza kuangalia documentariesDk Blandina Kilama na mswahili mwingine lakini hii ni kazi ya matapeli kama kina boss wa yanga au rost tamu hawa wanaitwa Gold mafias kazi yao ku penetrate into country leaders na kupitisha ajenda zao. Waweza kukuta kwenye watu wa kati wa kuwaleta DP world hata gavan wa mombasa anahusika
Ccm wanataka kuendesha bandari kisasa zaidi ili kuimarisha ufanisi na kutanua wigo wa mapato.Kwanini tukodishe bandari kwa mgeni?. Tunanjaa kiasi gani?
Hatukosi trillion 4 kujenga Bandari. This is scamKuna kila dalili kuwa maamuzi ya kutoa sadaka Bandari yetu yalishafanyika kwa mujibu wa maelezo ya Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa...
Masharti ya mkataba umeyasoma mkuu?? Wangekua na nia njema wangeweka masharti nafuuDP world inaendesha bandari zaidi ya 70 na katika nchi karibu ya 40, ziko Europe,N America,Africa na Asia.. Hivi nyie hamuoni hali ya bandari yetu? ...
Wote wapumbavu mshauri na mshauriwaWanashauriana upumbavu
Hakika Dkt Magufuli utaendelea kuishi mioyoni mwetu