ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Dkt Blandina na wenzake sidhani kama ni washauri bali wanafuata maelekezoDk Blandina Kilama na mswahili mwingine lakini hii ni kazi ya matapeli kama kina boss wa yanga au rost tamu hawa wanaitwa Gold mafias kazi yao ku penetrate into country leaders na kupitisha ajenda zao. Waweza kukuta kwenye watu wa kati wa kuwaleta DP world hata gavan wa mombasa anahusika