Ili kuokoa Bandari yetu isitekwe na Dubai, tuanzie hapa

Dkt Blandina na wenzake sidhani kama ni washauri bali wanafuata maelekezo
 
You mean former governor Alli Joho sio?
 
Hivi watu hawa watatu walioko huko juu kabisa, si Wali kuwepo kwenye hotuba hii ya mwendazake?? Na haya maneno si Waliyasikia?

Leo hii wamekumbwa na nini jamani!!! au kama Kuna mtu wa karibu Yao si awapelekee Tena wa isikilizee upya hii hotuba harafu watufafanulie juu ya hii dipi wadi na tipiei, ndoa Yao infungwaje, na ni ya kikiristo yaani hadi mmoja atangulie mbele ya haki au ya kiislamu ya hadi nne na wakati wowote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…