Ili kuondoa tozo Serikali ifanye yafuatayo

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Yafuatayo ni mapendekezo yangu yatayobana matumizi na/ama kuibua/kuongeza makusanyo.

1. Wabunge walipwe sh 45,000/= kwa siku badala ya Tsh 300,000/= kama sitting allowance. Hivyo serikali itaokoa Tsh 255,000/= × 395 (idadi ya wabunge ) kwa siku sawa na TSh 100,725,000/=kwa siku.

2. Tabia ya watumishi wa umma kifanyia semina kwenye mahoteli ife. Wafanyie kwenye majengo ya serikali kama vile mabwalo ya shule, mdarasa, ofisi za umma na kumbi za mikutano za majengo yao.

3. Semina zinazomtaka mtumishi kusafiri zikome badala yake zifanyike kwa teknonolojia. Mfano ZOOM, Skipe, Space, n.k

4. Kodi ya mifugo
(a) Ng'ombe mmoja alipiweTsh 12,000 kwa mwaka (1000 kwa mwezi).

(b) Mbuzi, kondoo, punda na mbwa kila mmoja alipiwe Tsh 6,000/= kwa mwaka (Tsh 500 kwa mwezi)

(c) Ndege (kuku, bata, njiwa) kila mmoja alipiwe Tsh 2,400/= kwa mwaka. Sawa na TSh 200/= kwa mwezi

5. Mashamba. Kila mkulima alipie Tsh 5000 kwa kila ekari anayolima kwa mwaka. Hapa kwa. Msaada wa maafisa ugani ambao wamepewa pikipiki inawezekana.

6. Sanaa. Kila single ya muziki (bongo flava, gospel, kaswida,) ilipiwe Tsh 100,000/ na kila part ya movie ilipiwe Tsh 50,000/=. Cosota na Basata wasaidie hapa.

7. Football. Wachezaji walipie 8% (indigenous) na 12% (foreigners) ya mapato yao kama kodi.

KARIBUNI kwa mawazo zaidi ama maboresho
 
Mkuu kwenye financial inteligence umemzidi rais wa miamba
 
Hapo ongeza
~misafara ipungue urefu gari 5 zinatosha
~Ma RC DC wabunge nk magari wajihidumie wenyewe
~Tozo za mifugo ungepunguza halafu wangeajiri maafisa mifugo weengi pia kuanzisha mabaraza ya mifugo kuanzia ngazi ya vijiji ili kufuatilia
~rasimu ya Katiba ya warioba iwe ndio katiba yetu
 
Yafuatayo ni mapendekezo yangu yatayobana matumizi na/ama kuibua/kuongeza makusanyo.

1. Wabunge walipwe sh 45,000/= kwa siku badala ya Tsh 300,000/= kama sitting allowance. Hivyo serikali itaokoa Tsh 255,000/= × 395 (idadi ya wabunge ) kwa siku sawa na TSh 100,725,000/=kwa siku.

2. Tabia ya watumishi wa umma kifanyia semina kwenye mahoteli ife. Wafanyie kwenye majengo ya serikali kama vile mabwalo ya shule, mdarasa, ofisi za umma na kumbi za mikutano za majengo yao.

3. Semina zinazomtaka mtumishi kusafiri zikome badala yake zifanyike kwa teknonolojia. Mfano ZOOM, Skipe, Space, n.k

4. Kodi ya mifugo
(a) Ng'ombe mmoja alipiweTsh 12,000 kwa mwaka (1000 kwa mwezi).

(b) Mbuzi, kondoo, punda na mbwa kila mmoja alipiwe Tsh 6,000/= kwa mwaka (Tsh 500 kwa mwezi)

(c) Ndege (kuku, bata, njiwa) kila mmoja alipiwe Tsh 2,400/= kwa mwaka. Sawa na TSh 200/= kwa mwezi

5. Mashamba. Kila mkulima alipie Tsh 5000 kwa kila ekari anayolima kwa mwaka. Hapa kwa. Msaada wa maafisa ugani ambao wamepewa pikipiki inawezekana.

6. Sanaa. Kila single ya muziki (bongo flava, gospel, kaswida,) ilipiwe Tsh 100,000/ na kila part ya movie ilipiwe Tsh 50,000/=. Cosota na Basata wasaidie hapa.

7. Football. Wachezaji walipie 8% (indigenous) na 12% (foreigners) ya mapato yao kama kodi.

KARIBUNI kwa mawazo zaidi ama maboresho
Ubunge usiwe ajira ya kudumu.. Walipwe kipindi cha bajeti tuu
 
Back
Top Bottom