- Thread starter
- #21
Hili nalo wazo. Kwasabb wabunge wanapaswa kuwa wawakilishi wa wananchi. Lkn kamwe hawachukui mawazo ya wananchi kuyapekeka bungeni. Badala yake wanapeleka mawazo yao binafsi. Kuna kitu hakipo sawaBunge lifutwe tu lisiwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo wazo. Kwasabb wabunge wanapaswa kuwa wawakilishi wa wananchi. Lkn kamwe hawachukui mawazo ya wananchi kuyapekeka bungeni. Badala yake wanapeleka mawazo yao binafsi. Kuna kitu hakipo sawaBunge lifutwe tu lisiwepo
Tunaomba utusaidie mbadala wake mkuu, ushauri wangu siyo msahafu.Ushauri wa kijinga
hili nalo liangaliwe na uongozi wa jfKuwepo na tozo ya kila mada hapa JF tsh 2000 na kila komenti tsh 1000.
Wewe hunaga akili sina Cha kukusaidia. Pata kwanza akiliTunaomba utusaidie mbadala wake mkuu, ushauri wangu siyo msahafu.
Akili ya mtu hutambuliwa na mwenye akili.Wewe hunaga akili sina Cha kukusaidia. Pata kwanza akili
Kama nilivyotambua yako. Huna akili hata kidogoAkili ya mtu hutambuliwa na mwenye akili.
Mapemdekezo yanguYafuatayo ni mapendekezo yangu yatayobana matumizi na/ama kuibua/kuongeza makusanyo.
1. Wabunge walipwe sh 45,000/= kwa siku badala ya Tsh 300,000/= kama sitting allowance. Hivyo serikali itaokoa Tsh 255,000/= × 395 (idadi ya wabunge ) kwa siku sawa na TSh 100,725,000/=kwa siku.
2. Tabia ya watumishi wa umma kifanyia semina kwenye mahoteli ife. Wafanyie kwenye majengo ya serikali kama vile mabwalo ya shule, mdarasa, ofisi za umma na kumbi za mikutano za majengo yao.
3. Semina zinazomtaka mtumishi kusafiri zikome badala yake zifanyike kwa teknonolojia. Mfano ZOOM, Skipe, Space, n.k
4. Kodi ya mifugo
(a) Ng'ombe mmoja alipiweTsh 12,000 kwa mwaka (1000 kwa mwezi).
(b) Mbuzi, kondoo, punda na mbwa kila mmoja alipiwe Tsh 6,000/= kwa mwaka (Tsh 500 kwa mwezi)
(c) Ndege (kuku, bata, njiwa) kila mmoja alipiwe Tsh 2,400/= kwa mwaka. Sawa na TSh 200/= kwa mwezi
5. Mashamba. Kila mkulima alipie Tsh 5000 kwa kila ekari anayolima kwa mwaka. Hapa kwa. Msaada wa maafisa ugani ambao wamepewa pikipiki inawezekana.
6. Sanaa. Kila single ya muziki (bongo flava, gospel, kaswida,) ilipiwe Tsh 100,000/ na kila part ya movie ilipiwe Tsh 50,000/=. Cosota na Basata wasaidie hapa.
7. Football. Wachezaji walipie 8% (indigenous) na 12% (foreigners) ya mapato yao kama kodi.
KARIBUNI kwa mawazo zaidi ama maboresho
Hizo kodi ni nyingi serikali iweke tu kodi ya travel levy, kila abilia aendapo mkoa alipie 500@ bus10k daladala kila abilia 200@ dala dala 2k abilia wamajoni 3k wa ndege 10k@ boda na bajaj 100 kila abilia askari barabarani wapewe machine za kikata resits na kuakikisha kila mtu analipia, hizo pesa zitatasha vizuri hamna haja tozo nyingine.........hayo ni mawazo tu.Mapemdekezo yangu
1. Pamoja na kupunguza posho pia kazi ya ubunge iwe ya kujitolea serikali itagharamia posho na malazi kipindi cha mikutano ya bunge mikutano itakapoisha wabunge wote wanarudi mtaani kuendelea na shughuli zao zinazowaingizia kipato. Hakuna mishahara wala kiinua mgongo cha baada ya miaka mitano
2 and 3. Seminar za watumishi hotelini na zinazohitaji kusafiri ziachwe maana pesa inaingia mtaani inaboost uchumi yaani inaongeza mzunguko wa pesa mtaani
6. Kwenye sanaa makato yawe kwa asilimia kuliko kuweka kiasi maalumu maana mapato ya wasanii ni tofauti pia utozaji uzingatie status ya msanii husika tukisema umlenge kila mtu hapo itakua kifo cha wasanii underground
7. Kodi za wachezaji wa kigeni na waajiriwa wengine wote ambao sio raia ziongezwe maradufu ikiwezekana iwe hata 20% hawa jamaa wanavuna pesa nyingi sana.
Mapendekezo mengine hapo juu nafikiri yanaweza kubaki kama yalivyo
Hii mkuu iko jikoni inaandaliwa. Itaitwa "kodi ya utalii wa ndani". Wanataka kila abiria atozwe 5% ya nauli yake kwa kila safari atakayofanya toka mkoa mmoja kwenda mwingine.Hizo kodi ni nyingi serikali iweke tu kodi ya travel levy, kila abilia aendapo mkoa alipie
Sasa wale watakae kuenda kwa ajili ya msiba au wanao rudisha watoto mashuleni itakua je?.....hapo nchi itakua imeisha duhHii mkuu iko jikoni inaandaliwa. Itaitwa "kodi ya utalii wa ndani". Wanataka kila abiria atozwe 5% ya nauli yake kwa kila safari atakayofanya toka mkoa mmoja kwenda mwingine.
Kuna kikosi kazi kinamalizia maandalixi ya kodi hii . Ikikamilika tutajuzwa.
Wabunge wote wafutwe, namaanisha nchi iendeshwe bila wabunge, maana mpaka Sasa wabungu wapo ila kila kitu ni ndyo, Sasa ya nin wabunge wawepo nakati hata wasipokuwepo kila kitu wanaunga mkono hoja na kupitishwa kwa sheria mbovu!Yafuatayo ni mapendekezo yangu yatayobana matumizi na/ama kuibua/kuongeza makusanyo.
1. Wabunge walipwe sh 45,000/= kwa siku badala ya Tsh 300,000/= kama sitting allowance. Hivyo serikali itaokoa Tsh 255,000/= × 395 (idadi ya wabunge ) kwa siku sawa na TSh 100,725,000/=kwa siku.
2. Tabia ya watumishi wa umma kifanyia semina kwenye mahoteli ife. Wafanyie kwenye majengo ya serikali kama vile mabwalo ya shule, mdarasa, ofisi za umma na kumbi za mikutano za majengo yao.
3. Semina zinazomtaka mtumishi kusafiri zikome badala yake zifanyike kwa teknonolojia. Mfano ZOOM, Skipe, Space, n.k
4. Kodi ya mifugo
(a) Ng'ombe mmoja alipiweTsh 12,000 kwa mwaka (1000 kwa mwezi).
(b) Mbuzi, kondoo, punda na mbwa kila mmoja alipiwe Tsh 6,000/= kwa mwaka (Tsh 500 kwa mwezi)
(c) Ndege (kuku, bata, njiwa) kila mmoja alipiwe Tsh 2,400/= kwa mwaka. Sawa na TSh 200/= kwa mwezi
5. Mashamba. Kila mkulima alipie Tsh 5000 kwa kila ekari anayolima kwa mwaka. Hapa kwa. Msaada wa maafisa ugani ambao wamepewa pikipiki inawezekana.
6. Sanaa. Kila single ya muziki (bongo flava, gospel, kaswida,) ilipiwe Tsh 100,000/ na kila part ya movie ilipiwe Tsh 50,000/=. Cosota na Basata wasaidie hapa.
7. Football. Wachezaji walipie 8% (indigenous) na 12% (foreigners) ya mapato yao kama kodi.
KARIBUNI kwa mawazo zaidi ama maboresho
Hapo mpaka katiba ibedilishwe na wakibadili katiba ni wa bunge, na hawewezi kujihukumu wenyewe hilo haliwezakaniWabunge wote wafutwe, namaanisha nchi iendeshwe bila wabunge, maana mpaka Sasa wabungu wapo ila kila kitu ni ndyo, Sasa ya nin wabunge wawepo nakati hata wasipokuwepo kila kitu wanaunga mkono hoja na kupitishwa kwa sheria mbovu!
Hilo pendekezo namba moja ni zuri sana kazi ya ubunge iwe ya kujitolea ni matumizi mabaya ya raslimali fedha kumlipa mbunge kwa eti kwa sababu ya kuhudhuria vikao wakati ndio wajibu wake wa kwanza wa kazi aliyoiomba kwa wapiga kura wake isitoshe kuna haja gani ya kumpata mbunge mshahara na posho ya ubunge wakati si kipindi cha bunge .!Na hili tuliangalieMapemdekezo yangu
1. Pamoja na kupunguza posho pia kazi ya ubunge iwe ya kujitolea serikali itagharamia posho na malazi kipindi cha mikutano ya bunge mikutano itakapoisha wabunge wote wanarudi mtaani kuendelea na shughuli zao zinazowaingizia kipato. Hakuna mishahara wala kiinua mgongo cha baada ya miaka mitano
2 and 3. Seminar za watumishi hotelini na zinazohitaji kusafiri ziachwe maana pesa inaingia mtaani inaboost uchumi yaani inaongeza mzunguko wa pesa mtaani
6. Kwenye sanaa makato yawe kwa asilimia kuliko kuweka kiasi maalumu maana mapato ya wasanii ni tofauti pia utozaji uzingatie status ya msanii husika tukisema umlenge kila mtu hapo itakua kifo cha wasanii underground
7. Kodi za wachezaji wa kigeni na waajiriwa wengine wote ambao sio raia ziongezwe maradufu ikiwezekana iwe hata 20% hawa jamaa wanavuna pesa nyingi sana.
Mapendekezo mengine hapo juu nafikiri yanaweza kubaki kama yalivyo
Eti e,Yafuatayo ni mapendekezo yangu yatayobana matumizi na/ama kuibua/kuongeza makusanyo.
1. Wabunge walipwe sh 45,000/= kwa siku badala ya Tsh 300,000/= kama sitting allowance. Hivyo serikali itaokoa Tsh 255,000/= × 395 (idadi ya wabunge ) kwa siku sawa na TSh 100,725,000/=kwa siku.
2. Tabia ya watumishi wa umma kifanyia semina kwenye mahoteli ife. Wafanyie kwenye majengo ya serikali kama vile mabwalo ya shule, mdarasa, ofisi za umma na kumbi za mikutano za majengo yao.
3. Semina zinazomtaka mtumishi kusafiri zikome badala yake zifanyike kwa teknonolojia. Mfano ZOOM, Skipe, Space, n.k
4. Kodi ya mifugo
(a) Ng'ombe mmoja alipiweTsh 12,000 kwa mwaka (1000 kwa mwezi).
(b) Mbuzi, kondoo, punda na mbwa kila mmoja alipiwe Tsh 6,000/= kwa mwaka (Tsh 500 kwa mwezi)
(c) Ndege (kuku, bata, njiwa) kila mmoja alipiwe Tsh 2,400/= kwa mwaka. Sawa na TSh 200/= kwa mwezi
5. Mashamba. Kila mkulima alipie Tsh 5000 kwa kila ekari anayolima kwa mwaka. Hapa kwa. Msaada wa maafisa ugani ambao wamepewa pikipiki inawezekana.
6. Sanaa. Kila single ya muziki (bongo flava, gospel, kaswida,) ilipiwe Tsh 100,000/ na kila part ya movie ilipiwe Tsh 50,000/=. Cosota na Basata wasaidie hapa.
7. Football. Wachezaji walipie 8% (indigenous) na 12% (foreigners) ya mapato yao kama kodi.
KARIBUNI kwa mawazo zaidi ama maboresho
Yaah! Kama msomi analipia (elimu + mshahara) wake. mwenye nyumba analipia (ardhi/kiwanja + nyumba) yake. Kwann hao wengine wasilipe??Eti e,
Naa inawezekana;kama mfanyakazi analipia 9% ya mshahara wake,tena kajisomesha,anatumia ujuzi wake ili abaki/asiharibu kazi.Basi ni vema na haki hao wengine pia walipie kazi zao kuliko kuwatoza watu katika kile kidogo walichobakiza!!