Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao.

Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa na muda mrefu wa kusoma kitu ambacho naamini akifanyiki Kwa sasa.

Kenya kila kazi ya Rais anayofanya inakuwa questioned kwa mujibu wa katiba na Sheria na hivyo analazimika kuzungukwa na magwiji wa bobezi katika kufikia zilipo mamlaka.

Ni mtizamo wangu kwamba Zuhura akiwa nI kijana anapaswa sasa kupanga safu yake alete mabadiliko kupunguza hoja mitandaoni zakukosoa seriousnes ya tengua tengua.

Endapo utaratibu huu utafuatwa basi suprise zitapungua Kwa Sababu uteuzi utahusisha vyombo vingi lakini consultation na vetting zakutosha.

Naomba kuwasilisha.
 
Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao.

Endapo Mhe. Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa na muda mrefu WA kusoma kitu ambacho naamini akifanyiki Kwa SASA.

Kenya kila KAZI ya Rais anayofanya inakuwa questioned Kwa mujibu wa katiba na Sheria na hivyo analazimika kuzungukwa na magwiji wa bobezi katika kufikia zilipo mamlaka.

NI mtizamo wangu kwamba Zuhura akiwa NI kijana anapaswa SASA kupanga safu yake alete mabadiliko kupunguza hoja mitandaoni zakukosoa seriousnes ya tengua tengua.

Endapo utaratibu huu utafuatwa basi suprise zitapungua Kwa Sababu uteuzi utahusisha vyombo vingi lakini consultation na vetting zakutosha.

Naomba kuwasilisha.
Binafsi naelewa unachosema na pia nia yako njema. Lakini ukimtwisha jukumu la kuhakiki sheria husika Msemaji au Press Sec. wa Rais utakuwa humtendei haki na pengine hawezi kuwa na nguvu kazi na muda wa kufanya hayo unayoshauri.
Ni mawazo yangu kuwa kiutawala ni kosa kudurufu idara zote za serikali na katika ofisi binafsi ya Rais. Serikali yote ni ya Rais. Ikulu inatakiwa kutumia Idara husika za Serikali kupata usahihi wa kila jambo ambalo Rais anatakiwa kuamua pamoja na vetting kabla ya teuzi. Mhusika mkuu wa hiyo shughuli ni Katibu Mkuu Kiongozi ambaye anajua kila jambo Idara ipi ya Serikali ambayo imejengewq uwezo kuwa na kauli ya kitaalam kwanza kabla siasa haijaingizwa. Ukiwaachia maofisa katika Ofisi Binafsi ya Rais waanzishe na kikamilisha mambo yote kutakuwa na makosa mengi sana maana hawawezi kuwa na historia, uzoefu na data ukilinganisha na Idara zinazohusika. Utaratibu huu unatakiwa utumike hata kwenye hotuba rasmi za Rais ili ziwe na uzito wa kitaifa na usahihi, siyo kwenye uteuzi peke yake. Ukisikia wanaotutakia mema wanasema utawala wa sheria ndiyo msingi wa maendeleo ni katika mambo kama hayo. Utawala siyo mchezo.
 
Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao.

Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa na muda mrefu wa kusoma kitu ambacho naamini akifanyiki Kwa sasa.

Kenya kila kazi ya Rais anayofanya inakuwa questioned kwa mujibu wa katiba na Sheria na hivyo analazimika kuzungukwa na magwiji wa bobezi katika kufikia zilipo mamlaka.

Ni mtizamo wangu kwamba Zuhura akiwa nI kijana anapaswa sasa kupanga safu yake alete mabadiliko kupunguza hoja mitandaoni zakukosoa seriousnes ya tengua tengua.

Endapo utaratibu huu utafuatwa basi suprise zitapungua Kwa Sababu uteuzi utahusisha vyombo vingi lakini consultation na vetting zakutosha.

Naomba kuwasilisha.
Mkuu Resilience , asante kwa mawazo yako, Venus Nyota hapo hahusiki kabisa!, ni kumuonea tuu dada wa watu!. Niliwahi kushauri humu kuwa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda swali ni jee sasa muda umetosha spana zianze au tuendelee kumpa muda hadi 2025?.
P
 
Back
Top Bottom