Ili kuondoa utitiri wa migogoro ya ndoa, tuoane ndugu kwa ndugu na taifa letu liruhusu ndoa za mikataba

Ili kuondoa utitiri wa migogoro ya ndoa, tuoane ndugu kwa ndugu na taifa letu liruhusu ndoa za mikataba

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Kwa hali ilivyo sasa ktk taasisi ya ndoa, kusipofanyika mabadiliko ya kiutamaduni na kisheria ndoa zitakoma kabisa kufungwa.

Tusiendelee kujifungia na tamaduni ama sheria zetu ambazo kwa sasa zimeshndwa kutatua changamoto za ndoa.

Mm nashauri yafuatayo yafanyike.

1. Watu waoane ndani ya Koo na familia zao. Mbona jamii ya waarabu wanafanya hivi? Sisi kinashindikana nn? Mwenza wako akiwa ndugu, huwezi kumfanyia unyama.

2. Muswada upelekwe bungeni, ili kufanyike mabadiliko ktk sheria ya ndoa na kuruhusu ndoa za mikataba. Tuwe tuna-renew kama leseni za biashara. Mwenza wako akikuboa unagoma ku-renew.

Mfikishieni ujumbe huu waziri wa jinsia, maana watu huku mitaani hawaoani kabisa, wanaogopa migogoro na vitímbi vya ndoa.
 
Upo sahihi mkuu ndoa ya ndugu kwa ndugu ni raha sana mimi nimefanya hivyo.

downloadfile-288.jpg
downloadfile-96.jpg
 
1. Ukioa ndugu yako kwa makusudi (ukiwa unajua kuwa ni ndugu yako ) unafungwa, unless awe ndugu wa mbali kiasi cha wazee wa jamii husika (kiaa utapoush kukubari)

Saɓbu: ndoa za ndugu huongeza idadi ya watoto vilema wa kuzaliwa.

2. Mtu mwenye matatizo ya kisaikolojia,ni mgomvi tu, hata awe na ndugu zake.
 
Unajua kwanini ndoa za ndugu kwa ndugu zilipoteza mvuto ? Sababu moja wapo ni kuongeza gene pool mkioana ndugu kwa ndugu kuna magonjwa ya kurithi yatawaandama sana...
 
Kwa hali ilivyo sasa ktk taasisi ya ndoa, kusipofanyika mabadiliko ya kiutamaduni na kisheria ndoa zitakoma kabisa kufungwa.
Mkuu, Sheria za ndoa zilizofanya wazazi wetu wakadumu hadi uzee, ndio hizo hizo zipo hadi leo hii.

Tatizo madogo siku wanaanza mapenzi wadogo hata Condom haziwatoshi halafu wabishi na ujuaji ni mwingi sana.

Vijana achaneni na NDOA mkiona hamna sababu za msingi zinazofanya uingie kwenye ndoa tofauti na NYEGE na NGONO ya Bure.
 
Mkuu, Sheria za ndoa zilizofanya wazazi wetu wakadumu hadi uzee, ndio hizo hizo zipo hadi leo hii.
Ndoa za wazazi wetu zilidumishwa na mfumo dume (mfumo wa kibabe na mangumi). Mwanamke alikuwa akiolewa halafu akileta za kuleta anapigwa na mumewe, anapigwa na babake, anapigwa na kakake na anatwezwa na jamii inayomzunguka.
 
Sababu moja wapo ni kuongeza gene pool mkioana ndugu kwa ndugu kuna magonjwa ya kurithi yatawaandama sana...
Hii unaweza kuikwepa kwa kuoa mtoto wa shangazi , hapa tayari unakuwa umechanganya vinasaba.
 
Hizi study zilifanywa kwa wazungu wanaoendekeza ubaguzi ktk kuoana kwa asilimia kubwa. Ukoo wa Angel (amabo wao huita kabila) wanaoana wao kwa wao Unakumbuka kisa cha princess Diana kupigwa risasi?


Kwahiyo huko ukifanya utafiti wa gene mixing kati ya mtu na mpwa wake utakuta hakuna.
 
Hizo ndoa za waarabu hazina matatizo? fanya utafiti, mfano wahindi mabinti wengi wanapambana kwenda kusoma ng’ambo wanatokomea huko huko na kuolewa huko huko… To them hawataki kuishi maisha waliyoishi mama zao kwenye aina hizo za ndoa.

Upuuzi ni mwingi kila kona.
 
Back
Top Bottom