Ili kuondoa utitiri wa migogoro ya ndoa, tuoane ndugu kwa ndugu na taifa letu liruhusu ndoa za mikataba

Kwa hali ilivyo sasa ktk taasisi ya ndoa, kusipofanyika mabadiliko ya kiutamaduni na kisheria ndoa zitakoma kabisa kufungwa.

Tusiendelee kujifungia na tamaduni ama sheria zetu ambazo kwa sasa zimeshndwa kutatua changamoto za ndoa.

Mm nashauri yafuatayo yafanyike.

1. Watu waoane ndani ya Koo na familia zao. Mbona jamii ya waarabu wanafanya hivi? Sisi kinashindikana nn? Mwenza wako akiwa ndugu, huwezi kumfanyia unyama.

2. Muswada upelekwe bungeni, ili kufanyike mabadiliko ktk sheria ya ndoa na kuruhusu ndoa za mikataba. Tuwe tuna-renew kama leseni za biashara. Mwenza wako akikuboa unagoma ku-renew.

Mfikishieni ujumbe huu waziri wa jinsia, maana watu huku mitaani hawaoani kabisa, wanaogopa migogoro na vitímbi vya ndoa.
Mkuu kuoana ndugu kwa ndugu sio kwamba ni suala la mila au desturi. Kuna madhara hasa ya kibaiolojia yanaweza kutokea. Tafuta mtaalamu wa genetics akupe info kidogo.
 
Hiyo sio solution
Unaongeza matatizo zaidi
 
Mkuu kuoana ndugu kwa ndugu sio kwamba ni suala la mila au desturi. Kuna madhara hasa ya kibaiolojia yanaweza kutokea. Tafuta mtaalamu wa genetics akupe info kidogo.
Ukiona mtoto wa shangazi unakuwa tayari umeukwepa mtego wa inbreeding. Ni mtaalamu sana wa eneo hili (molecular biology)
 
Back
Top Bottom