Upo sahihi mkuu ndoa ya ndugu kwa ndugu ni raha sana mimi nimefanya hivyo.
View attachment 3380340View attachment 3380341
Hahahaha😂😂😂😂😂😂😂Upo sahihi mkuu ndoa ya ndugu kwa ndugu ni raha sana mimi nimefanya hivyo.
View attachment 3380340View attachment 3380341
Mkuu, Sheria za ndoa zilizofanya wazazi wetu wakadumu hadi uzee, ndio hizo hizo zipo hadi leo hii.Kwa hali ilivyo sasa ktk taasisi ya ndoa, kusipofanyika mabadiliko ya kiutamaduni na kisheria ndoa zitakoma kabisa kufungwa.
😂😂😂😂Tatizo litakuwa kubwa sana hasa kwenye maradhi ya kurithi na tabia za kurithi mwisho jamii inakuwa ya hovyo kama waarabu.
Ndoa za wazazi wetu zilidumishwa na mfumo dume (mfumo wa kibabe na mangumi). Mwanamke alikuwa akiolewa halafu akileta za kuleta anapigwa na mumewe, anapigwa na babake, anapigwa na kakake na anatwezwa na jamii inayomzunguka.Mkuu, Sheria za ndoa zilizofanya wazazi wetu wakadumu hadi uzee, ndio hizo hizo zipo hadi leo hii.
Hii unaweza kuikwepa kwa kuoa mtoto wa shangazi , hapa tayari unakuwa umechanganya vinasaba.Sababu moja wapo ni kuongeza gene pool mkioana ndugu kwa ndugu kuna magonjwa ya kurithi yatawaandama sana...
Hii unaweza kuikwepa kwa kuoa mtoto wa shangazi , hapa tayari unakuwa umechanganya vinasaba.
Hizi study zilifanywa kwa wazungu wanaoendekeza ubaguzi ktk kuoana kwa asilimia kubwa. Ukoo wa Angel (amabo wao huita kabila) wanaoana wao kwa wao Unakumbuka kisa cha princess Diana kupigwa risasi?Cousin marriage: The new evidence about children's ill health
A major study has found first cousin-parentage may have wider consequences than previously thought.www.bbc.com