Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee.
Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless napendekeza ndugu wa karibu waoane kama wafanyavyo waarabu na wahindi.
Hili likifanyika litapunguza migogoro ya kwenye ndoa inayosababishwa na:-
(a) Tofauti za kimalezi
(b) Tofauti za kimila
(c) Tofauti za kipato
(d) Kutoaminiana baina ya wanandoa. Mume/mke anafanya baadhi ya vitu kwa siri pasipo mwenza kujua.
Hivyo tuoane watoto wa baba mdogo/mkubwa, watoto wa mama mdogo/mkubwa, watoto wa mjomba/shangazi, dada/watoto wa shemeji iwe rukhusa kuoana.
N.B. Tuwaepuke kaka na dada wale wa baba na mama mmoja tu.
( Moderator nitenganishie maneno kupunguza na kuzuia kwa kuweka alama ya mkwaju / katikati hapo kwenye heading).