Ili kupunguza kuzuia wimbi la ndoa kuvunjika tuoane ndugu wa karibu

Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee.

Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless napendekeza ndugu wa karibu waoane kama wafanyavyo waarabu na wahindi.

Hili likifanyika litapunguza migogoro ya kwenye ndoa inayosababishwa na:-
(a) Tofauti za kimalezi
(b) Tofauti za kimila
(c) Tofauti za kipato
(d) Kutoaminiana baina ya wanandoa. Mume/mke anafanya baadhi ya vitu kwa siri pasipo mwenza kujua.

Hivyo tuoane watoto wa baba mdogo/mkubwa, watoto wa mama mdogo/mkubwa, watoto wa mjomba/shangazi, dada/watoto wa shemeji iwe rukhusa kuoana.

N.B. Tuwaepuke kaka na dada wale wa baba na mama mmoja tu.

( Moderator nitenganishie maneno kupunguza na kuzuia kwa kuweka alama ya mkwaju / katikati hapo kwenye heading).
Fact📌📌📌
 
Duuh.. mbona kila nikiangalia kwenye ukoo wetu pale mi naona kabisa nisingepata wa kuoa..?
 
Wazo zuri lakini ya kurithi ikiwemo
Kifafa
Ualbino
Ukichaa(maana kuna familia ukifika 40 uchiz unaanza)
 
Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee.

Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless napendekeza ndugu wa karibu waoane kama wafanyavyo waarabu na wahindi.

Hili likifanyika litapunguza migogoro ya kwenye ndoa inayosababishwa na:-
(a) Tofauti za kimalezi
(b) Tofauti za kimila
(c) Tofauti za kipato
(d) Kutoaminiana baina ya wanandoa. Mume/mke anafanya baadhi ya vitu kwa siri pasipo mwenza kujua.

Hivyo tuoane watoto wa baba mdogo/mkubwa, watoto wa mama mdogo/mkubwa, watoto wa mjomba/shangazi, dada/watoto wa shemeji iwe rukhusa kuoana.

N.B. Tuwaepuke kaka na dada wale wa baba na mama mmoja tu.

( Moderator nitenganishie maneno kupunguza na kuzuia kwa kuweka alama ya mkwaju / katikati hapo kwenye heading).
licha kuwa kuoana ndug kuna saidia kiasi fulani ndoa kutovunjika . ila kuna hatar ya kurithishana malazi asa yale ya kurithi kwhy unawez ukakta babu mpk kitukuu wote n wagonjwa ..
 
Kwamba hayo maradhi ndio upeleke koo zingine au
 
haina maana maradhi upeleke ukoo wengine ila unapunguz asilimia za maradhi kupngua mfano km kuna mtu ana albinism akioa ndani ya family kuna asilimia kubwa sana ya kupata mtot wny albinism maana vina saba mfanano vinakuwa vipo kwa wing ndan ya wazaz wawil... ila km utaoa family nyngn ambay aina albnisim kuna usalama wa kiasi fulan kutopata mtoto wny albinism.... maan mzaz moja tu ndo anakuw na tatz mwngn anakuw yupo safe
 
Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee.

Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless napendekeza ndugu wa karibu waoane kama wafanyavyo waarabu na wahindi.

Hili likifanyika litapunguza migogoro ya kwenye ndoa inayosababishwa na:-
(a) Tofauti za kimalezi
(b) Tofauti za kimila
(c) Tofauti za kipato
(d) Kutoaminiana baina ya wanandoa. Mume/mke anafanya baadhi ya vitu kwa siri pasipo mwenza kujua.

Hivyo tuoane watoto wa baba mdogo/mkubwa, watoto wa mama mdogo/mkubwa, watoto wa mjomba/shangazi, dada/watoto wa shemeji iwe rukhusa kuoana.

N.B. Tuwaepuke kaka na dada wale wa baba na mama mmoja tu.

( Moderator nitenganishie maneno kupunguza na kuzuia kwa kuweka alama ya mkwaju / katikati hapo kwenye heading).
Umewahi gombana na nduguyo? If YES then hata ndugu mkioana kuvunjika kupo pale pale..!!!

Sababu ulizozitoa, nazipa majibu haya yafutayo, yakionyesha hata ndugu wakioana, bado kama ndoa ni ya kuvunjika itavunjika tu..!!

(a) Tofauti za kimalezi
Hapa, kuna familia zinalelewa na wazazi hao hao wawili, lakini mwisho wa siku familia moja inakuwa na mtoto jambazi, na mwingine padre au shehe msafi. Hii ina maana kulelewa na wazazi malezi yanayofanana, hakujawahi kuwasababisha watoto wawe na tabia inayofanana

(b) Tofauti za kimila
Ikumbukwe kuwa pamoja na kuwa na mila zinazofanana, bado watu hujichanganya na kuishi maeneo tofauti na yenye mila tofauti na alikozaliwa. Kitendo cha kuishi maeneo tofauti, hupelekea mtu kuanza kuiga mila za maeneo anakoishi. Hivyo kumpata mtu mwenye kuelewa mila zake kwa ukamilifu wake ni mdogo sana

(c) Tofauti za kipato
Hapa labda mke awe anamzidi mume kipato, lakini ikiwa kinyume chake, huwa hakuna shida. Na ndiyo maana mwanaume anaweza akaishi na mwanamke asiye na kipato maisha yake yote, lakini mwanamke huyo huyo kuishi na mwanaume asiye na kipato wiki anaweza asimalize. Labda awe ni baba yake

(d) Kutoaminiana baina ya wanandoa. Mume/mke anafanya baadhi ya vitu kwa siri pasipo mwenza kujua.
Usiri huo hauwezi malizwa kwa kuona ndugu.

Kimsingi, kilinachofanya ndo ivunjike unaweza pia ukakifanya hata kwa ndugu yako. HIVYO, KUOWA MDUGU HAKUWEZI PUNGUZA AU KUONDOA KUVUNJIKA KWA NDOA
 
98% ya wakazi wa dar wanaishi below laki 3 kutokana na takwimu mpya kwa mwezi nadhani ukiachana na sababu nyingine ila kipato pia kinachangia kuvunja ndoa za watu wa dar
 
Back
Top Bottom