Mcheze kwa mahesabuHuu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea kutetea Ubingwa.
Bila shaka Mnyama anahitaji kudhirisha ukubwa wake!
Wydad ana ubingwa gani?Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea kutetea Ubingwa.
Bila shaka Mnyama anahitaji kudhirisha ukubwa wake!
Mmh sio kwa simba hii, simba hatujashinda hata mechi 1 kimataifa kati ya mechi 6?Logic is very simple, Simba hata kumaliza kwa kuongoza kundi anaweza.
Simba hata akipoteza kwa Wydad sio kesi lakini LAZIMA nae amfunge Wydad hapa nyumbani, hapo atakuwa na pointi 5.
Then Simba akienda kwa Asec LAZIMA atafute draw yoyote, au ashinde, kwasababu wale wajinga walipata draw hapa, tugawane pointi moja, au tuondoke na tatu, hapo Simba atakuwa na pointi sita au nane.
Mechi ya mwisho na Galaxy kwa Mkapa, Simba LAZIMA ashinde, akishinda atafikisha pointi 11, hapo anaenda robo fainali bila shida tena kwa kuongoza kundi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Inategemea na matokeo ya mechi za timu zingine, siyo lazima amfunge WydadLogic is very simple, Simba hata kumaliza kwa kuongoza kundi anaweza.
Simba hata akipoteza kwa Wydad sio kesi lakini LAZIMA nae amfunge Wydad hapa nyumbani, hapo atakuwa na pointi 5.
Then Simba akienda kwa Asec LAZIMA atafute draw yoyote, au ashinde, kwasababu wale wajinga walipata draw hapa, tugawane pointi moja, au tuondoke na tatu, hapo Simba atakuwa na pointi sita au nane.
Mechi ya mwisho na Galaxy kwa Mkapa, Simba LAZIMA ashinde, akishinda atafikisha pointi 11, hapo anaenda robo fainali bila shida tena kwa kuongoza kundi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mbna Humtaji Saidoo? Huyu ndo hatakiwi hata kucheza cha ajabu eti ndo anafanyiwa sub mwshoni, inakeraaa.Wanacheza utadhani hawajala, unategemea wafuzu waende wapi?, hao hawavuki makundi huu ndo ukweli.
Kocha anawapa dakika za kutosha akina Onana na Baleke, ulitegemea maajabu gani tena hapo?.
Hii timu itatuua, bora tuendelee kuisusa hivihivi.
Kiukweli Simba kwa sasa haina mshambuliaji tegemeo.Wanacheza utadhani hawajala, unategemea wafuzu waende wapi?, hao hawavuki makundi huu ndo ukweli.
Kocha anawapa dakika za kutosha akina Onana na Baleke, ulitegemea maajabu gani tena hapo?.
Hii timu itatuua, bora tuendelee kuisusa hivihivi.
Katika orodha hiyo, naona Moses ana ahueni sema hapewi muda mwingi wa kucheza.Kiukweli Simba kwa sasa haina mshambuliaji tegemeo.
Hata Baleke hana maajabu.
Baleke
Onana
Mozes Phili
Miquesson
Kramo
Wanatakiwa kupewa mkono wa kwaheri kwenye Dilisha dogo.
Dirisha dogo siyo rahisi kupata wachezaji wazuri wa kucheza champions LeagueKiukweli Simba kwa sasa haina mshambuliaji tegemeo.
Hata Baleke hana maajabu.
Baleke
Onana
Mozes Phili
Miquesson
Kramo
Wanatakiwa kupewa mkono wa kwaheri kwenye Dilisha dogo.
Wewe una chuki na saidoo.jamaa ni mpambanaji sana labda kama unamwangalia kwa makengeza.Mbna Humtaji Saidoo? Huyu ndo hatakiwi hata kucheza cha ajabu eti ndo anafanyiwa sub mwshoni, inakeraaa.
Mkuu Simba ipi imfunge Wydad hapa?. Mkikimbiza sana sare hapa. Atakuwa na point 3 ongezea na 3 na Garaxy kwa hapa nyumbani,atamaliza na point 6 au sana sana 5 mkifungwa kote kote na Wydad.Logic is very simple, Simba hata kumaliza kwa kuongoza kundi anaweza.
Simba hata akipoteza kwa Wydad sio kesi lakini LAZIMA nae amfunge Wydad hapa nyumbani, hapo atakuwa na pointi 5.
Then Simba akienda kwa Asec LAZIMA atafute draw yoyote, au ashinde, kwasababu wale wajinga walipata draw hapa, tugawane pointi moja, au tuondoke na tatu, hapo Simba atakuwa na pointi sita au nane.
Mechi ya mwisho na Galaxy kwa Mkapa, Simba LAZIMA ashinde, akishinda atafikisha pointi 11, hapo anaenda robo fainali bila shida tena kwa kuongoza kundi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hatuna timu yakwenda popote,kwa takataka hizi kina balekeLogic is very simple, Simba hata kumaliza kwa kuongoza kundi anaweza.
Simba hata akipoteza kwa Wydad sio kesi lakini LAZIMA nae amfunge Wydad hapa nyumbani, hapo atakuwa na pointi 5.
Then Simba akienda kwa Asec LAZIMA atafute draw yoyote, au ashinde, kwasababu wale wajinga walipata draw hapa, tugawane pointi moja, au tuondoke na tatu, hapo Simba atakuwa na pointi sita au nane.
Mechi ya mwisho na Galaxy kwa Mkapa, Simba LAZIMA ashinde, akishinda atafikisha pointi 11, hapo anaenda robo fainali bila shida tena kwa kuongoza kundi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Onana, baleke,saidoo,=rubbishKatika orodha hiyo, naona Moses ana ahueni sema hapewi muda mwingi wa kucheza.
Mchezaji kama Onana kwa hizi siku zilizosalia kufika dirisha dogo, hata benchi hapaswi kuwepo kwa wendawazimu wake anaocheza uwanjani.
Ila niwajuavyo viongozi wa Simba na tajiri miluzi MO, hakutakuwa na maboresho ya maana dirisha dogo bali tutegemee siasa zao na propaganda ikifika dirisha kubwa mwezi july, napo hawataleta vyuma zaidi ya maneno mengi vitendo sifuri.