Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Kwanini?Mechi za nyumbani labda mbadilishe uwanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Mechi za nyumbani labda mbadilishe uwanja
Hata Fei Toto hatapatikana?Dirisha dogo siyo rahisi kupata wachezaji wazuri wa kucheza champions League
Na Uto je?Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea kutetea Ubingwa.
Bila shaka Mnyama anahitaji kudhirisha ukubwa wake!
Mpuuzi wewee, saidoo anapambania nn haswaa?Wewe una chuki na saidoo.jamaa ni mpambanaji sana labda kama unamwangalia kwa makengeza.
Sioni Saidoo anachokifanyaa, afurushweeeeee.Ukimtoa Huyo mchezaji wetu wa zamani aliyechoka sababu ya umri mkubwa ndiyo makolo itakwishaa kabisa na kugaragara pale middle.
Yote kwa yote hasira ya Jana ya kutoshinda dhidi ya Mwarabu tutaileta kwa makolo mnyonge wetu next game
hajamfunga orlando away acha bangi alipigwa kimoja akashinda kwa matutaJwaneng Galaxy yeye anashinda ugenini.
Kamfunga
Wydad 0:1
Orlando pirates 0:1
Simba 1:3
Tujipange, tuache hesabu uchwara