Logic is very simple, Simba hata kumaliza kwa kuongoza kundi anaweza.
Simba hata akipoteza kwa Wydad sio kesi lakini LAZIMA nae amfunge Wydad hapa nyumbani, hapo atakuwa na pointi 5.
Then Simba akienda kwa Asec LAZIMA atafute draw yoyote, au ashinde, kwasababu wale wajinga walipata draw hapa, tugawane pointi moja, au tuondoke na tatu, hapo Simba atakuwa na pointi sita au nane.
Mechi ya mwisho na Galaxy kwa Mkapa, Simba LAZIMA ashinde, akishinda atafikisha pointi 11, hapo anaenda robo fainali bila shida tena kwa kuongoza kundi.
Sent from my SM-G900H using
JamiiForums mobile app