Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimika kumvua Ubingwa Wydad Casablanca!

Ubingwa upi?
 
Simba hii hii ikamfunge Asec kwao? Hebu amka Mkuu, unaota.
 
Sema mpira una hisia za ajabu sana watu wamekaa mapovu yanatoka tunajadili ajira za watu na mabosi zao hao watu wala hawaongelei hilo
 
Simba hii ya akina Baleke na Onana hatufiki popote. Watu wanacheza Kama wamelazimishwa .
 
Mbna Humtaji Saidoo? Huyu ndo hatakiwi hata kucheza cha ajabu eti ndo anafanyiwa sub mwshoni, inakeraaa.
Ukimtoa Huyo mchezaji wetu wa zamani aliyechoka sababu ya umri mkubwa ndiyo makolo itakwishaa kabisa na kugaragara pale middle.
Yote kwa yote hasira ya Jana ya kutoshinda dhidi ya Mwarabu tutaileta kwa makolo mnyonge wetu next game
 
Simba atakuwa na uwezo wa kumshinda ASEC kwao na Juaneng nyumbani maana wakati huo tayari atakuwa ameshafanya usajili mzuri. Lakini Mechi za Wydad anaweza kupata point 1 tu.
 
upo sahihi kutoboa kwa simba kwenye hili kundi lazma wachukue pnts 4 au 6 kwa wydad...kinyume na hapo makolo RIP
 
Simba atakuwa na uwezo wa kumshinda ASEC kwao na Juaneng nyumbani maana wakati huo tayari atakuwa ameshafanya usajili mzuri. Lakini Mechi za Wydad anaweza kupata point 1 tu.
Unahakika hizo sajili zitafit?Sometimes kusajili ni sawa na kubet na dirisha dogo ni ngumu kupata wachezaji wazuri.

Cha msingi kocha awe na plan kwa wachezaji hao hao aliokuwa nao, kwenye usajili ukibugi kwenye dirisha kubwa ndio basi subiria msimu uishe.
 
Wydad ni bingwa wa kombe lipi? Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa Africa ni Al Ahly.
 
Wydad ni Bingwa?
 
Mechi za nyumbani labda mbadilishe uwanja
 
Simba atakuwa na uwezo wa kumshinda ASEC kwao na Juaneng nyumbani maana wakati huo tayari atakuwa ameshafanya usajili mzuri. Lakini Mechi za Wydad anaweza kupata point 1 tu.
Kwahiyo wao ASEC hatasajili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…