Ili kutunza maadili ya waajiriwa wapya, nashauri pia ufanyike usaili wa online content za waomba ajira ili kuona nini wanapost mitandaoni

Ili kutunza maadili ya waajiriwa wapya, nashauri pia ufanyike usaili wa online content za waomba ajira ili kuona nini wanapost mitandaoni

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni vyema wasailiwa pia wachunguzwe kwa kupitia online content zao, Kuna suala la maadili Sasa limekuwa changamoto.

Walioomba kazi pia wachunguzwe mambo wanayopost mitandaoni kama yanakidhi kimaadili. Baadhi wanapost mambo ya ngono halafu wanaomba nafasi za ualimu, wakakae na wanafunzi wetu, ni vyema usaili ukahama kutoka katika mifumo ya awali twende mbele zaidi.
 
Ndio, kampuni kama HALLIBURTON pamoja na BAKER HUGHES kipindi cha usaili huwa ni lazima kuambatanisha USERNAME ID ya mtandao wowote ambao msailiwa anatumia. MITANDAO YA KIJAMII kama LINKEDIN ni lazima kuwasilisha.
 
Naweka ya uongo tu ama nakwambia sina
 
Naweka ya uongo tu ama nakwambia sina
Ukiweka USERNAME ID ya uongo utakuwa umejiharibia mwenyewe na hauwezi kusema huna ACCOUNT kwenye MITANDAO YA KIJAMII kwa sababu kampuni kama hizi ni lazima ufanye maombi kwenye MTANDAO WA KIJAMII ambapo watakuwa wametangaza nafasi za kazi.

Kampuni kama HALLIBURTON pamoja na BAKER HUGHES ni kampuni ambazo zinahitaji mwaajiriwa awe UPDATED PERSONNEL au FIRST HAND INFORMATION PERSONNEL na VETTING PROCESS ya kampuni kama hizi huwa inachukua zaidi miezi sita hadi mwaka.
 
Naweka ya uongo tu ama nakwambia sina
Jaribu kuangalia na kusoma kwa makini hizi nafasi za kazi zilizotangazwa na kampuni ya TOTAL ENERGIES UGANDA.

IMG_20230424_203142.jpg

Kwa upande wa nafasi za INTERNSHIP AND GRADUATE TRAINEE, hizi kampuni huwa zinafuatilia hadi mahusiano ya mwanafunzi alipokuwa anasoma - kama ulikuwa huna ushirikiano na wanafunzi wenzako kipindi unasoma hupati kazi kwenye kampuni kama hizi.

IMG_20230424_203131.jpg

Jaribu tena kuangalia na kusoma kwa makini hizi nafasi za kazi zilizotangazwa na kampuni ya TOTAL ENERGIES UGANDA, sasa hizi ni PROFESIONAL JOBS.

IMG_20230424_203307.jpg

Pia, hii ni kampuni ya mafuta ya CHINA OILFIELD SERVICES LIMITED [COSL] na inapatikana UGANDA kwenye mradi wa BOMBA LA MAFUTA kutoka HOIMA mpaka TANGA na wenyewe wametangaza nafasi za kazi.

IMG_20230424_203325.jpg

Vigezo ni vile vile kama kampuni za STATOIL, BAKER HUGHES au HALLIBURTON, aina ya hizi kampuni zinahitaji mwaajiriwa awe UPDATED PERSONNEL au FIRST HAND INFORMATION PERSONNEL.

IMG_20230424_203355.jpg

Yaani hizi kampuni huwa zinahitaji mwaajiriwa awe anapata taarifa kwa wakati sahihi na huwa wanashare taarifa kupitia OUTLETS zao kwenye TWITTER, INSTAGRAM, FACEBOOK au LINKEDIN. Kwahiyo, kama unafuatilia kinachojili kwenye kampuni kama hizi ni lazima uwe mtumiaji wa MITANDAO YA KIJAMII.
 
Back
Top Bottom