Ndio, kampuni kama HALLIBURTON pamoja na BAKER HUGHES kipindi cha usaili huwa ni lazima kuambatanisha USERNAME ID ya mtandao wowote ambao msailiwa anatumia. MITANDAO YA KIJAMII kama LINKEDIN ni lazima kuwasilisha.Ni vyema wasailiwa pia wachunguzwe kwa kupitia online content zao, Kuna suala la maadili Sasa limekuwa changamoto.
Walioomba kazi pia wachunguzwe mambo wanayopost mitandaoni kama yanakidhi kimaadili. Baadhi wanapost mambo ya ngono halafu wanaomba nafasi za ualimu, wakakae na wanafunzi wetu, ni vyema usaili ukahama kutoka katika mifumo ya awali twende mbele zaidi.
Naweka ya uongo tu ama nakwambia sinaNdio, kampuni kama HALLIBURTON pamoja na BAKER HUGHES kipindi cha usaili huwa ni lazima kuambatanisha USERNAME ID ya mtandao wowote ambao msailiwa anatumia. MITANDAO YA KIJAMII kama LINKEDIN ni lazima kuwasilisha.
Ukiweka USERNAME ID ya uongo utakuwa umejiharibia mwenyewe na hauwezi kusema huna ACCOUNT kwenye MITANDAO YA KIJAMII kwa sababu kampuni kama hizi ni lazima ufanye maombi kwenye MTANDAO WA KIJAMII ambapo watakuwa wametangaza nafasi za kazi.Naweka ya uongo tu ama nakwambia sina
Jaribu kuangalia na kusoma kwa makini hizi nafasi za kazi zilizotangazwa na kampuni ya TOTAL ENERGIES UGANDA.Naweka ya uongo tu ama nakwambia sina