Ili kuwa na taifa linalofuata misingi ya katiba na sheria, waliokuasanyika bila kibali Mwanza wafikishwe mahakama kesho

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe.

Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza.

Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure.

My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
 
Napenda mfumo wa nyerere
Huku MTU
Huku kivuli
Ukiweka vema kwenye kivuli kura imeharibika.
Hakutumia nguvu,
DEMOKRASIA UCHWARA
 
Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe.

Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza.

Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure.

My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
Tumekusikia kamanda usiechoka kutoka Lumumba, ila mbona humu wanakuita kiazi mbatata 🤣🤣🤣🤣
 
Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe.

Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza.

Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure.

My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
Kwa minajili hio hio wale Covid-19 pale bungeni waondoshwe kesho na Spika ashitakiwe na wote waliohisika kuwafikisha pale warudishe hela zote za posho na mishahara waliochukua mpaka sasa!
 
Back
Top Bottom