Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kongamano ndio mkutano wa ndani?How come unaandika vitu ambavyo huvijui?!Unaelewa kuwa mikutano ya ndani huwa haiitaji kibali?
Kwani kongamano haliwezi kufanyikia ndani?Ni dhambi kongamano kufanyikia ndani?Kongamano ndio mkutano wa ndani?
Kwani pahala kinapofanyika ndo panatoa jina ..!?Kongamano ndio mkutano wa ndani?
Tumekusikia kamanda usiechoka kutoka Lumumba, ila mbona humu wanakuita kiazi mbatata 🤣🤣🤣🤣Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe.
Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza.
Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure.
My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
Kwa minajili hio hio wale Covid-19 pale bungeni waondoshwe kesho na Spika ashitakiwe na wote waliohisika kuwafikisha pale warudishe hela zote za posho na mishahara waliochukua mpaka sasa!Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe.
Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza.
Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure.
My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
Kama tunakatwa na tumekubali, kuliwa nini Kamanda?Dada utaliwa kiboga kushabikia upuuzi
Wewe unatumia njia ya haja kubwa kufikiriWe bwege huna akili unatumia makalio kufikiri